Elections 2010 Jimbo karatu, kata Mangola

Gurta

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
2,235
530
Kituo Anna Gamazo Sec

prez

ccm - 138
chadema - 170

mbunge
ccm - 142
chadema - 161

diwani
ccm - 145
chadema - 165
 
Ngome yetu haijanifurahisha ila si mbaya tumeongoza hilo ndo la msingi
 
Pamoja na kuwa ccm wametuma watu wao wapige kura mara tatu bado haijasaidia!
God is on our side no one can be against us!
Wataaibika na Huyo mganga wao wa jadi!
 
Niitegemea kura nyingi zaidi lakini tunashukuru kwa kila kura tunayoipata

Huko ndio kawaida yake huwa kuna ushindani mkali miaka yote, mambo bado yanaendelea subirini matokeo yote Dr.(PhD) atamzidi dokta Mkwere zaidi ya nusu ya kura zote...
 
Kwa karatu bado sana maana hilo ni jimbo letu. Tupeni zaidi
 
Asante Gurta kwa kutuhabarisha. Kama kuna mdau mwenye figure atupe maana usingizi haupo kabisa leo
 
Karatu madiwani 12 ,kati ya 14. Urais na ubunge bado,ila chadema wana nafasi kubwa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom