Jimama limenishinda, bora nitafute binti wa kati ya miaka 20 na 30

ndege joni

JF-Expert Member
May 23, 2017
673
1,082
Habari zenu wote
Hivi karibuni nilianzisha mahusiano na jimama ambalo limeachika na linafanya biashara zake. Mama huyo ana umri kati ya miaka 40s, uzito kati ya kilo 100 (uzito wangu ni 76Kg) Kwa kifupi nimekuwa kibenten kwa mda wa miezi miwili sasa na ananipenda sana na shida yake sio pesa na yuko tayari kunilipia chochote nachohitaji kutokana na uwezo wake japo sijawahi kuchukua hata 100 yake zaidi ya pombe anazonunua.

Shida ya huyu mama ni kuwa anapenda sana kufanya mapenzi, kila nikienda lazima nitumike kwelikweli na mara nyingine naamka hoi nashindwa kufanya majukumu mengine nakuwa nasinzia. Mara kadhaa nikienda na kutoka bila kufanya mapenzi analalamika sijamtendea haki.
Mwishowe nimejiona mtumwa wa kufanya mapenzi kwa jimama... na kila saa linatuma sms nikiwa katika majukumu kuwa usiache kuja leo na nikiziona sms nachoka nakumbuka mtanange wa huyo mama. Mpaka sasa sina hamu na mapenzi na mwanamke yeyote kwa sababu yake na wale niliokuwa nao nimepiga chini wote kwa sababu yake.
Sijui kama kuna waliopitia haya ila kulazimishwa mapenzi ni utumwa kweli na sielewi kwa jinsia ya kike ikoje. Tupeane uzoefu mabaharia
 
Ukome kupamia mbaula

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahaaa... anza mazoezi hususan intensive jogging itakusaidia tusikupoteze.

#hahaaaaa wanaume wa dar bana.
 
Mbona mnakimbilia uvivu? Watu hamjaelewa kumbe. Tangu nimezaliwa always I'm the king. Kwa huyu ni tofauti, mwanamke kutwa nzima kukutafuta akwambie jioni ukapige mtanange nimekumiss hb wangu, kwa upande wangu inapoteza mzuka wa mapenzi. Mwanamke mtamu ni yule anayejifanya hataki..ila yeye ndo kila saa amenimiss af nikichek ni kama nampa favor maana ni mkubwa kwangu pia mnene sana kiasi kwamba ... Ukute sometimes nina stress za kazi zangu.
 
Habari zenu wote
Hivi karibuni nilianzisha mahusiano na jimama ambalo limeachika na linafanya biashara zake. Mama huyo ana umri kati ya miaka 40s, uzito kati ya kilo 100 (uzito wangu ni 76Kg) Kwa kifupi nimekuwa kibenten kwa mda wa miezi miwili sasa na ananipenda sana na shida yake sio pesa na yuko tayari kunilipia chochote nachohitaji kutokana na uwezo wake japo sijawahi kuchukua hata 100 yake zaidi ya pombe anazonunua.

Shida ya huyu mama ni kuwa anapenda sana kufanya mapenzi, kila nikienda lazima nitumike kwelikweli na mara nyingine naamka hoi nashindwa kufanya majukumu mengine nakuwa nasinzia. Mara kadhaa nikienda na kutoka bila kufanya mapenzi analalamika sijamtendea haki.
Mwishowe nimejiona mtumwa wa kufanya mapenzi kwa jimama... na kila saa linatuma sms nikiwa katika majukumu kuwa usiache kuja leo na nikiziona sms nachoka nakumbuka mtanange wa huyo mama. Mpaka sasa sina hamu na mapenzi na mwanamke yeyote kwa sababu yake na wale niliokuwa nao nimepiga chini wote kwa sababu yake.
Sijui kama kuna waliopitia haya ila kulazimishwa mapenzi ni utumwa kweli na sielewi kwa jinsia ya kike ikoje. Tupeane uzoefu mabaharia
Sema jamaa siyo mtu wa mazoezi tu, hakuna mwanamke aliyewahi kuniletea jeuri kama hiyo. Watu tunapiga show heavy viwanja vitatu kwa siku na bado wenye viwanja vyao wanaomba poh! et wafanye marekebisho ya uwanja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
daaah!! we jamaa mzembe kweli walahi!! unazidiwa maujanja na jimama yaani hizo chance nazitafuta walahi!! nipe connection mkuu!! yaani pesa za bure zipo halafu unazikimbia!! daaaaah! kweli dunia inamambo

don't waste your time on lecturing me, this is 2020
 
Back
Top Bottom