Galamtogela
Senior Member
- Aug 25, 2013
- 102
- 27
1. Mapinduzi ya mwanzo Afrika ni CONGO-KINSHASA .Tar 15 sept 1960 siku 13 tangu nchi hiyo ipate uhuru.ambapo Patrice lumumba (waziri mkuu) alipinduliwa na hasimu yake raisi Joseph kasavubu.
2.Rais Joseph kasavubu alipinduliwa na Joseph Désiré Mobutu
3. Joseph Désiré Mobutu alijibadilisha jina na kujiita Mobutu seseseko Nkuku ngbendu wa zabanga.
4.hatimaye naye alipinduliwa na rais Rolah Désiré kabira ambaye naye alipigwa risasi na mlinzi wake lakini kabla ya kufa alifanikiwa kumkabidhi madaraka mwanaye Rais Robert Désiré Kabira ambaye ni anapambana na waasi rukuki wakiwemo wale aliofanikiwa kuwafurusha M23. HII NIYO CONGO- DRC.