Jikumbushe Mapinduzi CONGO DRC

Galamtogela

Senior Member
Aug 25, 2013
102
27
1. Mapinduzi ya mwanzo Afrika ni CONGO-KINSHASA .Tar 15 sept 1960 siku 13 tangu nchi hiyo ipate uhuru.ambapo Patrice lumumba (waziri mkuu) alipinduliwa na hasimu yake raisi Joseph kasavubu.
2.Rais Joseph kasavubu alipinduliwa na Joseph Désiré Mobutu
3. Joseph Désiré Mobutu alijibadilisha jina na kujiita Mobutu seseseko Nkuku ngbendu wa zabanga.
4.hatimaye naye alipinduliwa na rais Rolah Désiré kabira ambaye naye alipigwa risasi na mlinzi wake lakini kabla ya kufa alifanikiwa kumkabidhi madaraka mwanaye Rais Robert Désiré Kabira ambaye ni anapambana na waasi rukuki wakiwemo wale aliofanikiwa kuwafurusha M23. HII NIYO CONGO- DRC.
 
Galamtogela inanonekana hawa akina Joseph ni wapambanaji wa madaraka sana.Hapo mtoto wa Kabila siyo Robert Kabila ni Joseph Kabila
 
Last edited by a moderator:
1. Mapinduzi ya mwanzo Afrika ni CONGO-KINSHASA .Tar 15 sept 1960 siku 13 tangu nchi hiyo ipate uhuru.ambapo Patrice lumumba (waziri mkuu) alipinduliwa na hasimu yake raisi Joseph kasavubu.
2.Rais Joseph kasavubu alipinduliwa na Joseph Désiré Mobutu
3. Joseph Désiré Mobutu alijibadilisha jina na kujiita Mobutu seseseko Nkuku ngbendu wa zabanga.
4.hatimaye naye alipinduliwa na rais Rolah Désiré kabira ambaye naye alipigwa risasi na mlinzi wake lakini kabla ya kufa alifanikiwa kumkabidhi madaraka mwanaye Rais Robert Désiré kabira ambaye ni anapambana na waasi rukuki wakiwemo wale aliofanikiwa kuwafurusha M23. HII NIYO CONGO- DRC.

Laurent -ikitamkwa kwa kifaransa inasikika kama "loora" kwenye kiswahili

kabila
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom