Jikumbushe Madokta na Maprofesa hawa

Enzio hizo Faculty of Engineering udsm

Professor Nerey Mvungi

Professor Dominic chambega

Professor Bakari Mwinyiwiwa

Dr Alexnder Kyaruzi

Hawa ukiwa electrical engineering lazima ukutane nao 😂😂😂
 
Umenikumbusha Prof. Masenge, lecturer wangu wa Namba (Numerical Analysis) wa kipindi chote. My stay at Udsm sikuwahi kupata au kuona Lecturer aliyeshiba math contents & teaching methodologies zake kama huyu professor. Nimesikia kuwa kastaafu na kwa sasa anafundisha Marian University, Bagamoyo.
Mkuu vipi unamjua Professor Virdrian Grace Masanja
 
Pale Rock City
Dr. Charles Kitima
Prof Chiteji
Prof prof Kamugisha
Dr Mnengule
Dr. Mkamwa
Dr. Dr. Massangu ect
 
Kwa waliosoma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam miaka ya 90 hadi 2010 watakumbuka Cream ya Madaktari na Maprofesa wakali waliokuwapo pale. Sasa hivi wengine wametangulia mbele ya haki, wengine kustaafu na wengine kuacha kazi na kuingia katika siasa hasa ubunge. Leo nimewakumbuka nikawafananisha na timu ya Barcelona wakali hao. Huenda wengine wamefariki halafu sijui kama wajua saidia kuweka RIP na ongeza wengine unaowakumbuka. Sijui sasa hivi hali ikoje kwa upande wa ubora ukilinganisha na wakali hawa
1. Prof. Mathew Luhanga - Vice Chancelor
2. Prof. Mayunga Nkunya
3. Prof John Mshana
4. Prof. Mutabaji
5. Prof. Idris Kikula
6. Prof. Rwekaza Mukandala - Sasa ndiye Vice - Chancelor
7. Prof. Haroub Othmani -R.I.P.
8. Dr. Sengodo Mvungi - R.I.P
9. Prof. Issa Shivji
10. Prof. M. M. Mulokozi
11. Dr. Ndibalema
12. Dr. Hamza Njozi
13. Prof Josephati Maghway
14. Prof. Ishumi
15. Prof. Galabawa
16. Prof. Chachage - R.I.P
17. Dr. A Rwaitama
18. Prof. P. Mlama
19. Dr. Joyce Ndalichako
20. Prof. H. Mwansoko
21. Dr. Mreta
22. Dr. Kadeghe
23. Prof. Omary
24. Dr. B. Massele
Hawa ni baadhi tu ya wakali wa wakati huo baadhi yao bado wapo. Heshima zao sana.
Prof Shaba
Prof Sarungi
Prof massawe
 
Dr Ndibalema RIP he was my sibling
Napenda kufahamu kutoka kwako je Alikuwa mbobezi wa masomo gani??

Huyu Jamaa Familiya yake yote ni Phd older , nikimaanisha watoto wake.
 
Dr Ndibalema RIP he was my sibling
Napenda kufahamu kutoka kwako je Alikuwa mbobezi wa masomo gani??

Huyu Jamaa Familiya yake yote ni Phd older , nikimaanisha watoto wake.
Jamaa alinifundisha mambo ya Education management akatwambia Kuna wanafunzi wakimuita Batalamfy.Ila kwenye H na O umezingua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom