Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,615
- 38,589
- Thread starter
- #301
Wanne tu...si ndio tumeruhusiwa haoUna bebe wangapi
Wanne tu...si ndio tumeruhusiwa haoUna bebe wangapi
Wanne tu...si ndio tumeruhusiwa hao
@cute b, hazard alikuwa mpiga picha tu.
Mambo yametaradadi
Ndio unaachiwa mdogo wangu?
Hahahahahaha ukorofi huuNdio unaachiwa mdogo wangu?
Kwamba ndio kakuachia
Mrejesho please
Mrejesho please
Uwiii utaniua.Baada ya kupotea kwa siku kadhaa...
Pole sana na Hongera sana dear
Mimi sijambo kabisaa, hofu kwako tuu uliyepotea bila mrejesho
mkuu hi kitu SI wewe umepika lazima Kuna mkono wa binti ndo kaifanya hi kaziKimeivaa wakuu...
Ni mda wakusubiri ile kauli.."ngoja nimpe bodaboda uongee nae"View attachment 1179153
sometimes kuna wanawake wanapika kazi yao kupiga picha tuNyie vijana mnajua huu ufundi wa jikoni mnaouweka hapa mnawakatisha tamaa wadada!!! Mtafanya wapunguze kuja kula Love Connect