Siku utakayoijaribu unialike nije kuonjaSante maa,nitaijaribu hii kitu maana nape da sana cake
Ila acha kizoom picha khaaa!hadi umenifanya nimkumbuke davet
@Davet
Siku utakayoijaribu unialike nije kuonja
Asante!Usijali maa nitakualika
Nimekumiss ujue
afu nyieSante maa,nitaijaribu hii kitu maana nape da sana cake
Ila acha kizoom picha khaaa!hadi umenifanya nimkumbuke davet
@Davet
Ningumu kupapata mkuu maana muda umepita tokea hilo tukio lipite pia ule uzi una kimbia sanaHebu nitag nami nipaone tafadhali...
Huwa tunajaribu. Weekend tukiwa nyumbani sisi hupenda sana kujaribu pishi jipya. Tunatekeleza ushauri wa mama yangu, "The kitchen is the most romantic place in the house."
asanteni!
Nakumbuka.. lini sasa unanipikia rafiki yangu??Do you still remember this!????