Jiko lina wiki tu ndio limekuwa hivi

Kama kichwa habari hapo juu

Nimenunua jiko la plate mbili seperatively yaan nimenunua kimoja kimoja.

Jiko lina wiki tu ndo limekuwa hivi.

Yaan vioo vikepasuka pasuka kwa pembeni.
View attachment 1983299View attachment 1983300
Duuuh pole aisee , c huwa wanakua na warranty , warudishie mkuu , mm lakwangu nimenunua toka mwaka 2016 mpaka Leo liko poa , ni la sansan sema siku hiyo kampuni haipo
 
Mim nilinunua la ivyoivyo ila kampuni ni Aborder, nikalitumia miezi 6 tu oneday ilo likioo likaBusty kama bomu lol nikajua nafwaa, wakasema ni joto ninapopika. Ila sikuwaamin.

Nikampelekea mtaalamu mmoja akalidesign na kuweka bati apo juu akapiga rangi,, hauwezi jua limekuwa jipya na zuri kama limetoka china
 
Upo vizuri hata hawa mafundi wakuchomea wanaweza kukukatia bati wakatoboa hizo raundi likaendelea kupiga kazi kama kawaida
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom