Jiko lina wiki tu ndo limekuwa hivi

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
54,712
2,000
Hali zetu zinatufanya kujibana sana tutafute vitu vyenye gharama nafuu, ila hizi nafuu ndizo ghali....hapo inabidi ikutoke nyingine tena kununua jiko pole.

Next time nunua brand nzuri, nilikua na Nikai ya bati imedumu miaka 8
 
Planett

JF-Expert Member
Mar 20, 2014
9,155
2,000
hayo majiko sio kabisa, kuna siku nilidhan kuna bomu jikoni limeripuka kenda kucheki kioo cha jiko ndio kime burst
 
sayoo

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
4,568
2,000
Kama kichwa habari hapo juu

Nimenunua jiko la plate mbili seperatively yaan nimenunua kimoja kimoja.

Jiko lina wiki tu ndo limekuwa hivi.

Yaan vioo vikepasuka pasuka kwa pembeni.
View attachment 1983299 View attachment 1983300
Duuuh pole aisee , c huwa wanakua na warranty , warudishie mkuu , mm lakwangu nimenunua toka mwaka 2016 mpaka Leo liko poa , ni la sansan sema siku hiyo kampuni haipo
 
Masseto

JF-Expert Member
May 14, 2020
738
1,000
Mim nilinunua la ivyoivyo ila kampuni ni Aborder, nikalitumia miezi 6 tu oneday ilo likioo likaBusty kama bomu lol nikajua nafwaa, wakasema ni joto ninapopika. Ila sikuwaamin.

Nikampelekea mtaalamu mmoja akalidesign na kuweka bati apo juu akapiga rangi,, hauwezi jua limekuwa jipya na zuri kama limetoka china
 
May 25, 2020
18
75

Upo vizuri hata hawa mafundi wakuchomea wanaweza kukukatia bati wakatoboa hizo raundi likaendelea kupiga kazi kama kawaida
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom