Asante mkuu nitafanyia kazi ushauri wako. Mambo yakikamilika nitawaambia wana JF waje kuonja pizza. Nashukuru sana mkuu.cheki wajenzi mbalimbali na uwaulize gharama zao then utalinganisha bei zao na utaamua. pia waweza tembelea mgahawa wenye jiko na ukamuuliza owner kuhusu jiko la pizza. ukikamilisha ututaarifu mkuu tuje kununua misosi