relis
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 3,187
- 4,762
Kwanza ana dharau sana hasa ukimweleza shida zinazowakabili wananchi,atakujibu huku anajilambalamba midomo na kubinua mdomo tena lips Nazo zimekandikwa mafuta utafikiri kala vitumbua vya barabara ya 9Dodoma anapata na yule dogo Mavunde mshamba tu nae watampa ila hamna lolote analowafanyia.