Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,005
- 9,872
Jiji la New York, Marekani lilikuwa jiji lililokuwa na mabilionea 82, kwa takwimu za mwaka 2017 zilizotolewa na forbes. Jumla ya thamani ya mali za mabilionea hao ilikuwa ni $397.9 Billioni sawa na Tsh 917.8 Trillion
Thamani ya mali zao ni kubwa kuliko pato la taifa la nchi za Falme za kiarabu
Wakati huo mali kubwa ilikuwa ni ya Marehemu David Koch, aliyekuwa makamu wa rais wa kampuni ya pili kwa ukubwa kule Marekani ya Koch Industries
Wingi huu wa matajiri kwa jiji la New York umeuweka Mji huo katika rekodi ya dunia ya kuwa na mabilionea wengi, kwa kitabu cha Guinness cha 2019