Jiji la Tanga muangalieni huyu mkandarasi wa kuzoa taka.

ofisa

JF-Expert Member
May 15, 2011
4,328
4,036
Mkandarasi wa taka Kwa muda mrefu hazoi taka kwa wakati,some times gari zake huonekana zimebeba vifusi vya udongo sijui anapeleka wapi?
Eng wa jiji hili jalala halistahili kuwepo hapo ila kutokana na serikali kutaka basi imekuwa.

Jalala hili halina yale mawekeo maalum kama mitaa mengine ya mjini.
Jalala hili hushika moto na kufanya watu wasilale usiku kucha.
Jalala hili hufanya vibaka na wezi kushinda shinda hapo na kukwapua vitu vya wenyeji.

Jala hili hutanuka sababu taka hazizolewi mpaka atakapo jisikia nwenyewe sijui mnamuogopa au sijui mnalipa hata kama kazi hamna aliyofanya.na hamna mkaguzi wa kujua kazi aliyofanya kabla ya malipo.

Jalala hili lipo kwenye maghorofa ya kwenda nguvumali mabucha na kisosora au mpaka wa chumbageni na nguvumali mita hamsini kwa kuelekea nguvumali mabucha. Wahusika fuatilieni,twafaa na kodi tunalopa.

20170215_182552.jpg
View attachment 470920
20161105_090850.jpg
20161105_090827.jpg
View attachment 470923
20161105_090913.jpg
View attachment 470926
20161105_091010.jpg
20161105_091107.jpg
View attachment 470929
 
Back
Top Bottom