Jiji la Tanga na mkoa kwa ujumla mchawi wake ni nani?

nauma

Member
Feb 20, 2013
87
39
JIJI LA TANGA NA MKOA WAKE KWA UJUMLA MCHAWI WAKE NI NANI?

Ukiwa hujawahi fika katika mji huu ukisikia stori zake unaweza kuvutika hasa katika mpangilio wa barabara, suala la kusadikika la mapenzi, vyakula, matunda kila haja, sasa hebu jaribu fika katika jiji hili na manispaa ya kihistoria yenye mengi yaliovutia hapo kale.

Magofu ya viwanda vilivyokufa ndio yataanza kukukaribisha, nyumba chakavu zenye kukatisha tamaa, mji uliopoa kuashiria ni wa kale hasaa, wakazi wake wapo aina mbili wapo wavivu hawa kila kazi kwao mbaya mida mingi maskani/ama vijiweni wakipiga soga na wanatamani maisha mazuri hivyo wanaamini katika kuzamia, na kuletewa ajira zenye ujira mkubwa mikononi, wapo wakazi aina ya pili hawa ni wachakarikaji hasa na kila lazo kwao twende tatizo uduni wa elimu walionao ila si kikwazo cha kufanikiwa katika kipato na riziki.

Tatizo la Tanga halijawahi pata viongozi wakombozi ambao watakuwa na uchungu na mji ambao wataweza kuwaongoza wananchi kuwashawishi kuvuka na kupiga hatua hasa katika kutumia rasilimali zao, hapa si madiwani na wabunge kutoka chama chochote toka enzi na kale, sio viongozi wakuteuliwa, kama Mkurugenzi, RAC, DAC, DC wala RC, huoni cheche katika mikakati thabiti kutumia rasilimali ziweze wanufaisha wananchi. Lakini pia viongozi hawa wanatumia mianya ya wakazi kutokuhoji kujinufaisha kimaslahi.

Tanga ni shamba la bibi, ni zaidi ya miaka 50 mandhari na taswira ya mji wa Tanga iko palepale imepoa wenyewe wanasema mji unapiga (mark time) hauendi mbele upo upo tuu'! Tanga katuroga nani?

Ukithubutu kufanya kitu na kikaonekana katika taswira ya ukubwa basi jidhatiti haswa maana watatokea watakao hakikisha hufanikiwi kwa hoja kwanini iwe wewe na si wao kufanya na hata ukiwapa wafanye watafeli, yapo mengi ila nani mchawi Tanga? Wasomi na vijana wanaongoza kuukimbia mji wao, matajiri na maarufu hawautaki asilani! Tatizo nini Tanga?

Sent using jamii forums mobile app
 
Tatizo muda mwingi huutumia katika ibada (nadhani mmenielewa) , yaani mwanafunzi mwalimu anafundisha darasani yeye anawaza tu muda wa madrasa ufike akapige dufu.

Kwa kifupi ni elimu duni, uvivu uliokithiri ,kuficha uvivu wao katika kichaka cha dini, hawana exposure
 
Uko sahihi...tatizo la Tanga bwana kati watu watano utakao kutana nao barabarani basi jua mmoja ni jini mkata kamba..
 
Tanga..

Maendeleo huletwa na watu, fursa yeyote ilee ni watu +Elimu baasi hakika mambo yataenda swadakta
Badala yake tanga imekuwa kinyume, Waliokuepo wanaondoka na wanaoingia hawana matumizi sasa Hela itatoka wapi?
Elimu ni tatizo kubwaa sana kwa Mkoa wa tanga hasa formal Education ukijumlisha na Udini Udini ndani yakee.... Hahah Maendeleo Tanga ni ndoto.
 
Kunani paleeee Tanga, ina maana hata mapenzi wanayoyasema hayapo mkuu, binafsi sijawah fika hivo sina nikijuacho about Tanga
 
JIJI LA TANGA NA MKOA WAKE KWA UJUMLA MCHAWI WAKE NI NANI?

Ukiwa hujawahi fika katika mji huu ukisikia stori zake unaweza kuvutika hasa katika mpangilio wa barabara, suala la kusadikika la mapenzi, vyakula, matunda kila haja, sasa hebu jaribu fika katika jiji hili na manispaa ya kihistoria yenye mengi yaliovutia hapo kale.

Magofu ya viwanda vilivyokufa ndio yataanza kukukaribisha, nyumba chakavu zenye kukatisha tamaa, mji uliopoa kuashiria ni wa kale hasaa, wakazi wake wapo aina mbili wapo wavivu hawa kila kazi kwao mbaya mida mingi maskani/ama vijiweni wakipiga soga na wanatamani maisha mazuri hivyo wanaamini katika kuzamia, na kuletewa ajira zenye ujira mkubwa mikononi, wapo wakazi aina ya pili hawa ni wachakarikaji hasa na kila lazo kwao twende tatizo uduni wa elimu walionao ila si kikwazo cha kufanikiwa katika kipato na riziki.

Tatizo la Tanga halijawahi pata viongozi wakombozi ambao watakuwa na uchungu na mji ambao wataweza kuwaongoza wananchi kuwashawishi kuvuka na kupiga hatua hasa katika kutumia rasilimali zao, hapa si madiwani na wabunge kutoka chama chochote toka enzi na kale, sio viongozi wakuteuliwa, kama Mkurugenzi, RAC, DAC, DC wala RC, huoni cheche katika mikakati thabiti kutumia rasilimali ziweze wanufaisha wananchi. Lakini pia viongozi hawa wanatumia mianya ya wakazi kutokuhoji kujinufaisha kimaslahi.

Tanga ni shamba la bibi, ni zaidi ya miaka 50 mandhari na taswira ya mji wa Tanga iko palepale imepoa wenyewe wanasema mji unapiga (mark time) hauendi mbele upo upo tuu'! Tanga katuroga nani?

Ukithubutu kufanya kitu na kikaonekana katika taswira ya ukubwa basi jidhatiti haswa maana watatokea watakao hakikisha hufanikiwi kwa hoja kwanini iwe wewe na si wao kufanya na hata ukiwapa wafanye watafeli, yapo mengi ila nani mchawi Tanga? Wasomi na vijana wanaongoza kuukimbia mji wao, matajiri na maarufu hawautaki asilani! Tatizo nini Tanga?

Sent using jamii forums mobile app
Mapato
Screenshot_20181007-120621.jpeg
 
tatizo la serakali kuipa kipaumbele dar es salaam tu.hata mikoa tunayo toka kote tungeona pazuri kuliko kuegema pande moja.na hili huwa ndo tatizo sijiu viongozi wanajifunzaga nini wanapo kwenda kama USA sijui kushangaa magorofa
 
Back
Top Bottom