Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Um
Hapo unakosea, Arusha DC ni tofauti na Jiji la Mwanza na Ilemela. Ilemela na Nyamagana ni Manispaa 2 ndani ya MJI wa Mwanza na siyo mkoa wa Mwanza. Wametenganisha jiji liwe Nyamagana(Mwanza CC) kama Ilala hivi majuzi kuwa ndiyo Dar es Salaam. Hivyo hiyo Arusha itafutwe sehemu nyingine ya hapo mjini kama ipo iungane lakini isiwe Arusha DC, kisha ulinganishe na Mwanza CC na Ilemela.
Mwanza mdau, to be fair, iko juu kuliko Arusha.
Nasisitiza miji hiyo mimi wala hainihusu na hivyo sina maslahi, bali huwa ni mkweli tu.
Mr Opportunity, refer hoja ya Makambako vs Njombe mji na Kahama vs Njombe mji, niliongea ukweli tupu!
Umeelezea vizuri sana kaka
But still kwenye makusanyo ya tra arusha imewapita
Hapo mnachopingana na Bwana opportunity cost ni mapato ya halmashauri ambapo kama utakumbuka halmashauri nyingi nchini ukitoa dodoma vyanzo vingi vya mapato vilipeleka tra halmashauri zilibaki na ushuru wa vitu kama masoko, taka na stendi
Mfano dodoma ndio iliyoongoza kwa mapato ya halmashauri lakini ki uhalisia kwa makusanyo ya tra dar peke yake inakusanya mapato zaidi ya asilimia 80
Kwahiyo makusanyo ya halmashauri sio kipimo kizuri cha kuonesha ukubwa wa mji au shughuli zilizomo kwa sababu dodoma peke yake inakusanya mapato mara 3 zaidi ya arusha au mwanza cc + ilemela
 
Arusha imewapita au wameipita Mwanza? Unaamini kila mtu anaesema ukweli kua Arusha ni cha mtoto mbele ya Mwanza kwao ni huko?
Tunasimamia material fact, Mwanza iko juu ya Arusha, kwa vigezo vyote!
 
Arusha imewapita au wameipita Mwanza? Unaamini kila mtu anaesema ukweli kua Arusha ni cha mtoto mbele ya Mwanza kwao ni huko?
Tunasimamia material fact, Mwanza iko juu ya Arusha, kwa vigezo vyote!
Mandazi ana kichwa kigumu sana kuelewa, arusha ina safari ya miaka 50 kuifikia Mwanza.
 
Arusha imewapita au wameipita Mwanza? Unaamini kila mtu anaesema ukweli kua Arusha ni cha mtoto mbele ya Mwanza kwao ni huko?
Tunasimamia material fact, Mwanza iko juu ya Arusha, kwa vigezo vyote!
🤣🤣🤣🤣
Mkoa maskini afrika utupite kwa mambo yote

2441065_IMG_0451.jpg
 
Huko tuendako Kahama na Geita zitaizidi Mwanza parefu sana kiuchumi,Mwanza itazidi ku consolidate nafasi yake ya kuongoza kwa idadi kubwa ya maskini Tzn
 
Huko tuendako Kahama na Geita zitaizidi Mwanza parefu sana kiuchumi,Mwanza itazidi ku consolidate nafasi yake ya kuongoza kwa idadi kubwa ya maskini Tzn
Nawaambia kila siku hata tabora na bagamoyo zilikua kubwa kuliko dar
watu wanafata fursa
tangu miaka ya 80 mwanza ni mji wa pili but nothing is going on there
 
mnatiana ujinga🤣🤣
Haya bhana
Ila mapank anaelewa chuga kulivo Na Bata ziwani harudi Tena huyu hata hapo mrina tu alipo hiyo mitaa Mwanza nzima hamna ils shida yeye anachagua ile cheapest ndio anaenda Bora angeenda hata xo au picnic
Sasa kitombile ndio haelewi kitu maskini anaishia tu kusapoti hapa😥
Sema tutaftane basi mzee
Investment gan unaizngmzia unamaansha majengo yalyopo mwanza amejenga bibi ako
 
🤣🤣🤣Kwa uzwazwa wako mmezoea stori za vijiweni za kutajiana
Hivi mwanza Kuna kiwanda chenye kuajiri hata watu 7000
Na usikute huna taarifa kwamba mkoa wako Na pacha wake Geita ndio mnaongoza Kwa umaskini
Nyie ndio wale mnajichimbiaga vijiweni mnasema Mwanza inawatu million 4 😎 sijui mnaongeleaga idadi ya sangara

View attachment 1762482

View attachment 1762483
2acha kupmbaza watu kwa takwim zako za 2015 lete za 2020
 
Kwanza nani amekudanganya kuwa inaongoza kwa utalii Africa mashariki? Wakati idadi ya watalii kwa mwaka ni nusu ya wale wanaoenda Kenya
 
Back
Top Bottom