MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,643
- 33,427
Mimi nimezaliwa Mwanza ila swala la muonekano kwa juu tukiacha ushabiki hakuna tofauti kubwa kati ya Mwanza na Arusha. Tofauti kubwa ni population na ukubwa wa jiji la Mwanza.Leo msafara uliobeba mwili wa aliyekuwa Rais wa JMT marehemu JPM umekatiza katikati ya jiji la Mwanza
Mmeona mandari ya jiji la Mwanza, ziwa victoria, wingi wa watu na uzuri wote wa Mwanza
Wa kufananisha Mwanza na vi-jiji vingine kama vi-Arusha endeleeni kufananisha vi-sehemu vyenu na jiji la Mwanza sasa
R.I.P JPM