Jiji la Mwanza ndilo jiji kubwa kabisa lenye kiwanja cha ndege chenye hadhi duni dunia nzima

Yale mabanda yalinishangaza sana nikajiuliza kwa nini fedha za chato zisingejenga hapo ili kuongeza mapato kuliko huko chato hakupo kibiashara...
 
Wasukuma ni watu washamba sana.

Wewe umeenda mbali sana, acha ujinga inaonekana haujatembea. Usilinganishe kabila lililosambaa mikoa minne (Mwanza, Shinyanga, Geita na Simiyu) dhidi ya vikabila vinavyochukua Wilaya au hata Mkoa mmoja tu. Hapa Tanzania, ni Wamakonde (Mtwara na Lindi), Wamasai (Arusha na Manyara), Wagogo (Dodoma na Singida) na Wanyamwezi (Tabora na Shinyanga) pekee walioenea angalao mikoa mawili lakini hakuna Kabila lingine lililoenea kiasili katika mkoa zaidi ya mmoja.

Kusema washamba ni rahisi sana lakini Wewe ndiye wana kuona mshamba, unapojilinganisha wewe na wajanja wa Rocky City, Shy Town, Kahama na Geita, bila kuweka hata miji mingine mikubwa ya Bariadi, Maswa, Magu, Sengerema na Katoro.

Mambo ya ushamba ni ya enzi za nyuma, ukienda Kanda ya Ziwa, hasa usukumani, Wewe ndiye utaonekana mshamba.
 
Uwanja wa Mwanza kwa juu.

IMG_2294.JPG
 
Huu ndio muonekano wa Ramani iliyokuwa imekubaliwa kutumika kujenga jengo la abiria tangu mwaka 2013.
Nafurahi hotuba ya Rais ya Hivi karibuni Mwanza, inatoa matumaini makubwa ya kuwa na Uwanja wa kisasa zaidi kuliko nadhani hata hii picha.
IMG_2316.JPG
 
Watu wa Mwanza mmeambiwa pale Kigongo ferry panajengwa daraja ili kurahisisha usafiri kutoka Chato International Airport uwanja wa Mwanza siyo wa muhimu sana kwa sasa
Mkuu ukijenga daraja lazima lile kma usd 200+ ambazo zinatosha kujenga chato airport 6
 
Jiji kubwa kabisa duniani, hii thread lazima iwe imepostiwa na Msukuma.
Inashangaza sana. Miji yetu bado midogo sana. Just imagine, Dar haifikii Kisangani wala Kinshasa au Brazzaville, sasa tunaambiwa Mwanza ni jiji kubwa kabisa duniani!!!!! Hawa akina Wamwise kwa kweli wanajua kujitutumua
 
tuna rekebsha kwa wapinzani kwanza ili iwe rahisi kuchukua kura nyingi zaidi...
 
Back
Top Bottom