Jiji la Mwanza lachaguliwa na ATCL kama Kitovu cha Ndege za Tanzania zinazokwenda Ulaya

Kwa hiyo mtu anatoka Zimbabwe kwenda London atapanda ndege ambayo itakuwa inakusanya abiria harare, Lusaka, Blantyre, Kigali, dar na mwanza then aende London? Ungekwa wewe ungeenda hivyo au ungepanda harare Johannesburg London??!
Unamaanisha ATCL ndiyo inayopita huko kote kukusanya abiria??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo unazungumzia Dusseldorf, Dortmund unalinganisha na segerema, geita na chatto? Unajua industrial region inayoitwa Ruhl (sina uhakika na spelling) ilianza Mwaka gani? Na ilikuwa na viwanda vikubwa namna gani? Unafikiri soko la dhahabu ni sawa na mnada wa ng'ombe? Mwadui na Kahama si kuna viwanja vya ndege vya kusafirishia madini, je, viliwahi kuzidiwa? Fanyeni tu maamuzi ya kujifurahisha yasiyo na tija mtaona mwisho wake. Aliyetangulia katangulia tu msilazimishe mwanza iizidi dar kwani haifiki hata nusu ya kinondoni. Niwashauri tu komaeni hata mjenge bandar kubwa kuizidi dar! Kwani uwezo si mnao? Hapo itakuwa inapokea Mizigo mingi kutoka Asia, ulaya na marekani soon tunakuwa na uchumi wa kati
Wewe unaniuliza hata vitu vyenyewe huna uhakika navyo. Nalifahamu vyema eneo la Ruhr kuliko unavyoweza kufikiria ndugu yangu. Kujua tu kuwa hiyo ni miji yenye viwanja vikubwa ilifaa ikuonyeshe jinsi ninavyolifahamu eneo hilo. Sikutaja viwanja vya Essen Aachen wala Munster so nenda taratibu mzee.
Nani amekwambia kuwa ndege kutokea Mwanza ndiyo kuidharau Dar? Uliona lini Ndege za Canada ziende Ulaya kutokea Toronto bila kupita Montreal ama za Uingereza ziende America kutokea London bila kupita Liverpool? Au Ndege za Japan kwenda Nchi nyingine za Asia bila kupita Osaka? Mbona ndege nyingi za Lufthansa zinazoanzia Fraport (Frankfurt) zinapitia Munchen (Munich)?
Tujifunze routes za kibiashara mzee utaelewa ni kwa nini Uwanja wa Entebbe hauwezi kushindana na wa Kigali licha ya ukubwa wa Kampala na Uganda? Kwa hiyo unataka kuniambia kuwa ndege za KQ za Kenya zinazokwenda India hazipiti Mombasa kutokea JKIA Nairobi?
 
Kwa hiyo mtu anatoka Zimbabwe kwenda London atapanda ndege ambayo itakuwa inakusanya abiria harare, Lusaka, Blantyre, Kigali, dar na mwanza then aende London? Ungekwa wewe ungeenda hivyo au ungepanda harare Johannesburg London??!
Ndugu nimeona wewe hujui mashirika ya ndege yanavyojitahidi kupunguza gharama za uendeshaji. Sasa hivi mashirika mengi yana ushirikiano unaosaidia abiria kuunganisha flights kupitia mashirika rafiki (alliances).
Mfano kwa kuwa ndege ipo ya kutoka Harare kupitia Lusaka had Dar, hao hao wanakata tiketi ya kwenda Ulaya.
Ukisema kuwa eti watapanda ndege kupitia Jo-burg ujue kuwa mtu wa Lusaka kwenda SA ni kuzunguka zaidi kuliko yeye kupitia Mwanza.
Aidha, kuna sababu nyingi zinazolazimu wengine kupitia Tanzania zikiwemo za kibiashara na kindugu.
Hakuna namna ambapo Ukanda wa Magharibi ya Tanzania wenye wakazi zaidi ya milioni 20 kuzidi hata Nchi ya Rwanda utapata shida kujaza ndege za Ulaya.
Tusijikatishe tamaa routes zote duniani ambazo ni highly profitable zimeshatekwa na Mashirika makubwa ya Fly Emirates, Air Qatar, Lufthansa, British Airlines, Ethiopian Airlines na Kenyan Airway. Lazima tuanzishe routes mpya kwa kutumia ndege zetu.
Yes, we can.
 
Kwa hiyo magharibi kukiwa na wakazi 20m tayari tutapata abiria wanaoenda ulaya wa kujaza ndege ya abiria 250 kwa siku? Endelea kuganda na hayo mawazo tu! Tunaposema ndege kutoka dar-nbi/Addis/Dubai kwenda London ina uwezekano wa kupata abiria kwa urahisi hatumaanishi ni wakazi wa dar(say wazaramo) watakaojaza ndege hizo! Wataingia wazenj, wabongo, wahindi, waarabu, diplomats, wafanyabiashara wa kimataifa nk. Sasa wewe endelea kukomaa kuwa mwanza kuna wasukuma na waha watakaojaza ndege daily kwenda ulaya kwa sababu umekaririshwa kuwa wako zaidi ya milioni 20 bila kusahau kuwa hao wakazi milioni 20 wanazidiwa na raia milioni moja walioko dar regardless diplomats na maexpert wengine. Unahesabu idadi ya waafrika kuextract wenye uwezo wa kwenda ulaya direct????? Baki hivyo hivyo. Tembelea takwimu za standard of living ujue kuwa huko kolomije kukoje
 
Wewe unaniuliza hata vitu vyenyewe huna uhakika navyo. Nalifahamu vyema eneo la Ruhr kuliko unavyoweza kufikiria ndugu yangu. Kujua tu kuwa hiyo ni miji yenye viwanja vikubwa ilifaa ikuonyeshe jinsi ninavyolifahamu eneo hilo. Sikutaja viwanja vya Essen Aachen wala Munster so nenda taratibu mzee.
Nani amekwambia kuwa ndege kutokea Mwanza ndiyo kuidharau Dar? Uliona lini Ndege za Canada ziende Ulaya kutokea Toronto bila kupita Montreal ama za Uingereza ziende America kutokea London bila kupita Liverpool? Au Ndege za Japan kwenda Nchi nyingine za Asia bila kupita Osaka? Mbona ndege nyingi za Lufthansa zinazoanzia Fraport (Frankfurt) zinapitia Munchen (Munich)?
Tujifunze routes za kibiashara mzee utaelewa ni kwa nini Uwanja wa Entebbe hauwezi kushindana na wa Kigali licha ya ukubwa wa Kampala na Uganda? Kwa hiyo unataka kuniambia kuwa ndege za KQ za Kenya zinazokwenda India hazipiti Mombasa kutokea JKIA Nairobi?
Toa takwimu zako za kijiweni hapa! Direct flight za London- new York zipo nyingi tu! Mm nimeshasafiri na emirates,danganya wajinga wenzio!!! Endelea kuwa na mawazo mgando tu!! Narudia kusema kama mtakomalia kuanzisha route ya say mwanza - London mtafanya kumfurahisha mnayemjua kwa gharama zetu but it won't be profitable
 
Kwa hiyo magharibi kukiwa na wakazi 20m tayari tutapata abiria wanaoenda ulaya wa kujaza ndege ya abiria 250 kwa siku? Endelea kuganda na hayo mawazo tu! Tunaposema ndege kutoka dar-nbi/Addis/Dubai kwenda London ina uwezekano wa kupata abiria kwa urahisi hatumaanishi ni wakazi wa dar(say wazaramo) watakaojaza ndege hizo! Wataingia wazenj, wabongo, wahindi, waarabu, diplomats, wafanyabiashara wa kimataifa nk. Sasa wewe endelea kukomaa kuwa mwanza kuna wasukuma na waha watakaojaza ndege daily kwenda ulaya kwa sababu umekaririshwa kuwa wako zaidi ya milioni 20 bila kusahau kuwa hao wakazi milioni 20 wanazidiwa na raia milioni moja walioko dar regardless diplomats na maexpert wengine. Unahesabu idadi ya waafrika kuextract wenye uwezo wa kwenda ulaya direct????? Baki hivyo hivyo. Tembelea takwimu za standard of living ujue kuwa huko kolomije kukoje
Wewe mshamba kabisa nani kakwambia ndege zinazotokea Mwanza kwenda Ulaya zinaanzia hapo na si Dar es Salaam. Mnahoji kila kitu kinachofanywa na Serikali ili muonekane mna uelewa kumbe ni empty.
Unaweza kuniambia ni Mashirika mangapi ambayo yana ndege zinaruka miji miwili tu kama unavyotaka kutuaminisha wewe?
Ukisikia Shirika la ndege linafanya safari ya moja kwa moja kutoka Dar es Salaam ama Nairobi au Addis Baba hadi London bila kutua Rome, ama Frankfurt (Fraport) au Paris (Charles-de-Gaulle) ujue wana ndege nyingine zinazopita kwanza kwenye miji hiyo. Hata Fly Emirates to hawezi kufanya ujinga huo.
 
Toa takwimu zako za kijiweni hapa! Direct flight za London- new York zipo nyingi tu! Mm nimeshasafiri na emirates,danganya wajinga wenzio!!! Endelea kuwa na mawazo mgando tu!! Narudia kusema kama mtakomalia kuanzisha route ya say mwanza - London mtafanya kumfurahisha mnayemjua kwa gharama zetu but it won't be profitable
Ni za kijiweni coz naelewa nguvu ya shirika letu changa kulinganisha na Fly Emirates. Ulivyo mtupu hujui Tanzania tuna ndege ngapi kubwa za kuruka masafa marefu kulinganisha na Emirates. Emirates kwa Afrika tu inaruka kwenye zaidi ya miji 30 sasa hao kuwa na direct flight za mbali ni kitu cha kawaida sana. Lakini angalia Kenya wenye madege mengi ndio mwaka jana tu wameanza direct flight kwenda Marekani (JFKennedy), so tuongee kwa kujenga sio kukimbilia kukosoa ukidhani hilo suala watu hawalijui.
 
Acha kulinganisha vitu usivyovijua! Direct flight toka Nairobi kwenda newyork ni tofauti na direct flight toka Nairobi kwenda ulaya say London au Amsterdam! Kwenda direct newyork lazima uwe na abiria wa kwenda marekani tu! Narudia tena ili wewe mkolomije unielewe! Route ndefu ambayo lazima uwe na abiria wanaoenda marekani and the like tuu! Ndio maana ilihit sana hadi wewe ukasikia, Direct flight kwenda say London utakuwa na options nyingi za kuchukua wanaoenda Sweden, Italy, belgium , France nk. Nimekuelimisha hili ili kukuondoa kwenye mfano wako wa KQ ku-lounche hiyo route last year kwa promo nyingi, siyo kwamba ndio walianza flight za Nairobi kwenda ulaya direct! Wewe mkolomije endelea kudhani kuwa Biashara ni rahisi namna hiyo!
 
Lengo lenu kubwa ni kuinyima fursa KIA kwa kuwa tu inapatikana kaskazini mwa nchi.
Hata hayo makao makuu ya EAST AFRICA yaliyopo Arusha mnatafuta namna ya kuhamisha yaende Mwanza.
Watalii wanaoanzia Arusha kwenda Serengeti mnataka waanzie Mwanza kwenda Serengeti ili biashara za Arusha zife.
Mnada wa madini mnataka ujengwe Mererani na sio Arusha ili tu Arusha isikue kibiashara.
Nje ya mada mkuu,
Hivi si ulisema jf ni kwa ajili ya kuipindua serikali,sasa unatafuta nini huku?
Madini yapo mererani mnada unataka ujengwe arusha unahisi watu wa arusha wahitaji sana maendeleo kuliko watu wa merereni? Acha ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom