MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 12,505
- 30,912
Aisee, market forces zitaamua tu mwisho wa siku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo wewe unajiona mbunifu kuliko magazeti yote ndio ukaamua kuwazidi kwa kuandika uharo na pumba kwenye vipeperuahi vyako vya chooni kwa kuandika uongo,uzushi,husda na matapishi?Nyie ndio mkipewa staili mpya na wenza wenu mnalalama kuwa umejivunzia wapi? Wakikupa za kila siku ooohh hauna ubunifu, haujui nini unataka ndugu.
Mbona unajichanganya ndugu? Hilo gazeti la Mwananchi ni langu?Kwa hiyo wewe unajiona mbunifu kuliko magazeti yote ndio ukaamua kuwazidi kwa kuandika uharo na pumba kwenye vipeperuahi vyako vya chooni kwa kuandika uongo,uzushi,husda na matapishi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu walishafanya research long mzee. Kanda ya Ziwa ina abiria wengi wanaokwenda Ulaya ndio maana hulazimika kwenda kwanza Dar na hivyo kujikuta wamezunguka.Aisee, market forces zitaamua tu mwisho wa siku
Sababu kubwa ni umbali Mkuu, hata mm nikiwa natoka dar kwenda mwanza sipandi basi, ni mbali mno kwa basi, bora ndege. Kwa ndege za kwenda ulaya hiyo route mtakuwa nayo nyie wa ATCL tu! Mtu hawezi kuacha option ya Emirates dar Dubai London apande Atcl Dar-mwanza-london. Hiyo ndege inaweza kutoka dar na abiria 20 wanaoenda London na abiria say 150 wanaoishia mwanza then mkachukua abiria 10 wanaotoka mwanza kwenda london alafu mkalitia hasara Taifa. Nyie endeleeni kuamini tafiti hewa zinazopelekea kumfurahisha mtu mmoja tu. Hatujafikia kuwa na commercial direct flight Mwanza kwenda ulaya. Hifadhi Maneno yanguWatu walishafanya research long mzee. Kanda ya Ziwa ina abiria wengi wanaokwenda Ulaya ndio maana hulazimika kwenda kwanza Dar na hivyo kujikuta wamezunguka.
So kwa sasa hakuna kuzunguka. Na kulingana na taarifa za kiuchunguzi route ya Dar - Mwanza ndiyo ambayo huwa profitable katika route zote kiasi cha ATCL kufanya safari tatu kwa Siku. Kwingine ni mara moja ama mbili tu.
Ukitaka kukosoa chochote kile huwezi kushindwa mpaka muumba watu wana-question though muda mwingine ni out of curiosity.Sasa chato wamejenga uwanja wa nini? Wakati kanda ya ziwa mwanza airport na bukoba airport zinatosheleza
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani air Tanzania iue jnia? Hauko serious!kama ikiwa hvy bc kifo cha JNIA kimewasili.
Gud observation but still naona umeshindwa kuona potentiality ya eneo la upande wa Magharibi ya Tanzania kuanzia Mbeya, Sumbawanga, Mpanda, Tabora, Singida, Kigoma, Shy, Kahama, Bukoba, Bariadi na Musoma.Sababu kubwa ni umbali Mkuu, hata mm nikiwa natoka dar kwenda mwanza sipandi basi, ni mbali mno kwa basi, bora ndege. Kwa ndege za kwenda ulaya hiyo route mtakuwa nayo nyie wa ATCL tu! Mtu hawezi kuacha option ya Emirates dar Dubai London apande Atcl Dar-mwanza-london. Hiyo ndege inaweza kutoka dar na abiria 20 wanaoenda London na abiria say 150 wanaoishia mwanza then mkachukua abiria 10 wanaotoka mwanza kwenda london alafu mkalitia hasara Taifa. Nyie endeleeni kuamini tafiti hewa zinazopelekea kumfurahisha mtu mmoja tu. Hatujafikia kuwa na commercial direct flight Mwanza kwenda ulaya. Hifadhi Maneno yangu
Lengo lenu kubwa ni kuinyima fursa KIA kwa kuwa tu inapatikana kaskazini mwa nchi.Gud observation but still naona umeshindwa kuona potentiality ya eneo la upande wa Magharibi ya Tanzania kuanzia Mbeya, Sumbawanga, Mpanda, Tabora, Singida, Kigoma, Shy, Kahama, Bukoba, Bariadi na Musoma.
So, Ndege za ATCL za kutoka Mbeya zinaweza kupitia Iringa, Dodoma hadi Mwanza na nyingine inaweza kuanzia hapo Mbeya kupitia Tabora hadi Mwanza.
Aisha, Ndege zetu zimeanza kwenda Harare na Lusaka hivyo tutakuwa katika nafasi ya kuchukua abiria kutoka Nchi hizo wanaosafiri kwenda Ulaya ukizingatia Kuwait Kwanzaa sasa Zambia haina Shirika lake wala Zimbabwe haliendi Ulaya hivyo tunaweza kuchukua baadhi ya abiria wa Nchi hizo pia.
No rahisi kwa Mwanza kuwa last destination ya ndege za ATCL zinazokwenda Ulaya kuliko kutumia route ya KIA ambako tayari kuna Mashirika ya Ndege ya kimataifa yenye nguvu kama Air Qatar, Fly Emirates, Ethiopian Airlines na KQ ya Kenya.
Kwa hiyo mtu anatoka Zimbabwe kwenda London atapanda ndege ambayo itakuwa inakusanya abiria harare, Lusaka, Blantyre, Kigali, dar na mwanza then aende London? Ungekwa wewe ungeenda hivyo au ungepanda harare Johannesburg London??!Gud observation but still naona umeshindwa kuona potentiality ya eneo la upande wa Magharibi ya Tanzania kuanzia Mbeya, Sumbawanga, Mpanda, Tabora, Singida, Kigoma, Shy, Kahama, Bukoba, Bariadi na Musoma.
So, Ndege za ATCL za kutoka Mbeya zinaweza kupitia Iringa, Dodoma hadi Mwanza na nyingine inaweza kuanzia hapo Mbeya kupitia Tabora hadi Mwanza.
Aisha, Ndege zetu zimeanza kwenda Harare na Lusaka hivyo tutakuwa katika nafasi ya kuchukua abiria kutoka Nchi hizo wanaosafiri kwenda Ulaya ukizingatia Kuwait Kwanzaa sasa Zambia haina Shirika lake wala Zimbabwe haliendi Ulaya hivyo tunaweza kuchukua baadhi ya abiria wa Nchi hizo pia.
No rahisi kwa Mwanza kuwa last destination ya ndege za ATCL zinazokwenda Ulaya kuliko kutumia route ya KIA ambako tayari kuna Mashirika ya Ndege ya kimataifa yenye nguvu kama Air Qatar, Fly Emirates, Ethiopian Airlines na KQ ya Kenya.
Ndoto za mchana! Hahahaaaa
Mzee yote hayo ya nini sasa? Hivi ukisema mnada wa madini kujengwa Mirerani badala ya Arusha mbona hauongelei Soko jipya la dhahabu lililozinduliwa hivi karibuni na PM huko Geita? Mbona halikujengwa jijini Mwanza lakini hausemi? Kwa hiyo hapo utasema Rais anataka kuiua Arusha na siyo Mwanza pia?Lengo lenu kubwa ni kuinyima fursa KIA kwa kuwa tu inapatikana kaskazini mwa nchi.
Hata hayo makao makuu ya EAST AFRICA yaliyopo Arusha mnatafuta namna ya kuhamisha yaende Mwanza.
Watalii wanaoanzia Arusha kwenda Serengeti mnataka waanzie Mwanza kwenda Serengeti ili biashara za Arusha zife.
Mnada wa madini mnataka ujengwe Mererani na sio Arusha ili tu Arusha isikue kibiashara.
Nje ya mada mkuu,
Hivi si ulisema jf ni kwa ajili ya kuipindua serikali,sasa unatafuta nini huku?
Kwa hiyo unazungumzia Dusseldorf, Dortmund unalinganisha na segerema, geita na chatto? Unajua industrial region inayoitwa Ruhl (sina uhakika na spelling) ilianza Mwaka gani? Na ilikuwa na viwanda vikubwa namna gani? Unafikiri soko la dhahabu ni sawa na mnada wa ng'ombe? Mwadui na Kahama si kuna viwanja vya ndege vya kusafirishia madini, je, viliwahi kuzidiwa? Fanyeni tu maamuzi ya kujifurahisha yasiyo na tija mtaona mwisho wake. Aliyetangulia katangulia tu msilazimishe mwanza iizidi dar kwani haifiki hata nusu ya kinondoni. Niwashauri tu komaeni hata mjenge bandar kubwa kuizidi dar! Kwani uwezo si mnao? Hapo itakuwa inapokea Mizigo mingi kutoka Asia, ulaya na marekani soon tunakuwa na uchumi wa katiUkitaka kukosoa chochote kile huwezi kushindwa mpaka muumba watu wana-question though muda mwingine ni out of curiosity.
Hata hivyo usiseme kwa kuwa kuna kiwanja Mwanza hauwezi ukawa na kiwanja Geita achilia mbali Chato kwani eneo hili la Kusini Magharibi ya Ziwa Victoria lina biashara kubwa ya madini kuliko eneo lolote Afrika Mashariki.
Nenda Ujerumani kuna viwanja vikubwa na vya maana Dusseldorf na cha Koln-Bonn viko karibu sana kama kutoka Dar hadi Chalinze. Hapohapo kuna Kiwanja kingine cha kimataifa cha Dortmund. Vyote vitatu vina abiria wengi kuliko Kiwanja cha Dar.
Sawa, lets wait and seeWatu walishafanya research long mzee. Kanda ya Ziwa ina abiria wengi wanaokwenda Ulaya ndio maana hulazimika kwenda kwanza Dar na hivyo kujikuta wamezunguka.
So kwa sasa hakuna kuzunguka. Na kulingana na taarifa za kiuchunguzi route ya Dar - Mwanza ndiyo ambayo huwa profitable katika route zote kiasi cha ATCL kufanya safari tatu kwa Siku. Kwingine ni mara moja ama mbili tu.
Mwanza ilitakiwa kuwa na international airport yenye world standard siku nyingi sana, Kwa sasa wanamalizia ujenzi wa control tower na sijui kama wameanza jengo la abiria.Mwanza ni karibu na Serengeti nationa park pamoja na mlima Kilimanjaro, good move