Jiji la Istanbul wakati wa usiku...

taksim-istanbul-tram-thumb13043629.jpg

Royalty Free Stock Images: Taksim Istanbul tram

taksim_1.jpg



Kuiona Taksim bonyeza ha Taksim Meydan
I love Taksim
 
Wafanyabiashara wanaoenda huko inaonekana wameshindwa kuchakachua na kutuletea mansempele.mana nguo za huko nyingi zinazoletwa hapa nzuri kiasi chake.
 
Wafanyabiashara wanaoenda huko inaonekana wameshindwa kuchakachua na kutuletea mansempele.mana nguo za huko nyingi zinazoletwa hapa nzuri kiasi chake.
Mkuu makeda Huku kuna kila kitu nguo hazina tahamani zipo nguo za kila aina zipo za kuuzwa mitaani na madukani zote ni Origanall zipo za bei kubwa na bei rahisi utakavyo utapata kila kitu ukihitaji utakipata ili mradi uwe an pesa yako tu.
 
Last edited by a moderator:
bibie MadameX karibu mji wote wa istanbul ni wa kitalii karibu unakaribishwa................ watalii wanakuja kila mwaka wanafika zaidi ya watalii millioni moja na zaidi kila mwaka katika mji huu wa istanbul nchini Turkey.
Acha tujipangepange nitakutafuta nikuletee kiroba cha mihogo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom