Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,113
- 24,642
Huu ni wakati wa jiji la Dar es salaam kupata mkuu wa mkoa mwingine kutokana na kashfa kubwa inayomuandama huyu aliyepo kwa sasa!
Jiji hili lenye watu zaidi ya milion 5 linahitaji kiongozi mwenye weledi na anayefahamu thamani ya uongozi, kiongozi asiye na hulka ya kutumia ubabe na kulewa madaraka, halihitaji kiongozi anayefanya mambo ili apate cheap popularity!
Linahitaji kiongozi asiye na makando kando na asiyefanya kazi kwa visasi.
Hebu hili jiji awekwe mzee mwenye busara na hekima, mwenye uvumilivu na asiyempenda makuu!