Jiji la Arusha limekosa vituo vya daladala, pembeni ya barabara kuu ndio mwisho wa kituo

mkuu Arusha inawasumbua sana ukaenda kugoogle kabisa🤣🤣🤣

tangu lini umeona blogs za wazungu zikaongea mazuri kuhusu afrika

au unataka niwakumbushe wasukuma kuhusu video ya mapanki😉

Mi nawaambiaga milele na milele huo mkoa wenu wa maskini hautaifikia Arusha 😥 ndo maana kila siku mnatupostia masoko na stendi mnasahau watu wenu wanajisaidia ziwani🤣

View attachment 2022875

View attachment 2022876

View attachment 2022877

View attachment 2022878

View attachment 2022879

View attachment 2022880

View attachment 2022882

View attachment 2022883

View attachment 2022884
mwamba unajua sana dah🤣
naona watu wa ziwani wanajikusanya wote hawakuwezi dah
 
Back
Top Bottom