Jiji la Arusha kwenye Radius ya mita 900 kuna masoko matano kama sio Sita

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
432
1,000
Aina za mipango miji yetu inapaswa kuingizwa kwenye vitabu vya record za Dunia.

Jiji la arusha kutoka lilipo Soko kuu hadi soko la Kilombero kuna mita kama 800 hivi.

Kutoka soko kuu hadi Soko la Samunge kuna kama mita 300+, kutoka Soko la Samunge hadi soko la Kilombero napo kuna kama mita 700 hivi.

Kutoka samunge hadi soko la krokoni wanako uza mitumba kuna kama mita 27 hivi.

Kutoka soko la Kolombero hadi soko jipya la wamachinga/Wanyonge kuna kama mita 30.

Kutoka soko la Kilombero hadi stendi ya Daladala yenye pia soko kuna mita 30+

Kutoko soko jipya la wamachinga hadi soko kuu kuna mita 800 au 700 plus, the same kwenda soko la samunge.

Hapo hapo stendi ya Daladala kuna soko ndani ya stendi ina maana kwa sasa kwenye radius ya mita 50 kutakuwa na masoko matatu.

Bado hujaweka na lile soko la mitumba ni kama kuna masoko 6 kwenye radius ya mita 900.

Hizi ndo aina za mipango miji yetu. Akili tusha fungia kabatini tunatumia akili za kisiasa.
 
Juma1967

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
17,189
2,000

Arusha ni mwendo wa tomboys na Kaka poa (wenye rasta)
 
longi mapexa

JF-Expert Member
Jul 18, 2015
2,914
2,000
Nazidi kuwashangaa baadhi ya watu wanaoacha kujadili mada husika na kuanza kuingiza mada zingine tofauti....Guys Mlilogwa na nani?
 
paqwa

Member
Sep 13, 2019
33
95
Aina za mipango miji yetu inapaswa kuingizwa kwenye vitabu vya record za Dunia.

Jiji la arusha kutoka lilipo Soko kuu hadi soko la Kilombero kuna mita kama 800 hivi.

Kutoka soko kuu hadi Soko la Samunge kuna kama mita 300+, kutoka Soko la Samunge hadi soko la Kilombero napo kuna kama mita 700 hivi.

Kutoka samunge hadi soko la krokoni wanako uza mitumba kuna kama mita 27 hivi.

Kutoka soko la Kolombero hadi soko jipya la wamachinga/Wanyonge kuna kama mita 30.

Kutoka soko la Kilombero hadi stendi ya Daladala yenye pia soko kuna mita 30+

Kutoko soko jipya la wamachinga hadi soko kuu kuna mita 800 au 700 plus, the same kwenda soko la samunge.

Hapo hapo stendi ya Daladala kuna soko ndani ya stendi ina maana kwa sasa kwenye radius ya mita 50 kutakuwa na masoko matatu.

Bado hujaweka na lile soko la mitumba ni kama kuna masoko 6 kwenye radius ya mita 900.

Hizi ndo aina za mipango miji yetu. Akili tusha fungia kabatini tunatumia akili za kisiasa.
We geography lazima ulifeli. Soko kuu hadi kilombero ni mita 800? acha uongo ata google maps tu unashindwa kutumia.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom