Jiji la Arusha kupendezeshwa

Wikiliki

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
528
139
Habari za kuaminika ni kuwa barabara zote za ndani ya jiji la arusha na zinazoingia na kutoka ndani ya jiji zinatarajiwa kuwekwa lami zote.

Tayari mikataba ya kujenga barabara imeshasainiwa na kazi itaanza mwezi novemba mwaka huu. Tuombe wasije wakatokea chakachuzi wakaharibu kazi hii nzuri
.
 
Ni jambo la kheri sana! but still Arusha wana barabara nyembamba sana katikati ya mji. hiyo ndo kitu inachoharibu uzuri wa arusha. hata double road ya kuzugia hamna!
 
Mkuu,
Ungekuwa more specific ungetusaidia wakazi wa hapa! Ninavyoifahamu Arusha, karibu barabara zote za kuingia mjini zina lami tayari. Barabara za kutoka Moshi, Dodoma, Nairobi, Moshono, Mbauda, Njiro zote zina lami. Sijui mkataba unaouzungumzia ni wa barabara zipi. Au ni za sombetini, ungaltd, Ilboru, Majengo? Jaribu kuzipoint out ili tusherehekee vzuri!
 
Habari za kuaminika ni kuwa barabara zote za ndani ya jiji la arusha na zinazoingia na kutoka ndani ya jiji zinatarajiwa kuwekwa lami zote.

Tayari mikataba ya kujenga barabara imeshasainiwa na kazi itaanza mwezi novemba mwaka huu. Tuombe wasije wakatokea chakachuzi wakaharibu kazi hii nzuri
.
Ni juavyo mimi barabara ambayo ikombiyoni kujengwa ni ile ya EAC itakayopita kule kisongo, jalalani, njiro..........
 
Hii mimi nilisikia kuwa ile kampuni iliyopewa tender ya kutengeza barabara toka Namanga - Arusha iliingia mkataba wa kutengeneza barabara zote za ndani ya Arusha baada ya kuvuliwa hadhi ya jiji. Na lingine Arusha ni mji unaotegemea barabara moja tu ya uhuru hivyo kusababisha msongamano mkubwa sana magari, hivyo solution pekee iliyoonekana ni kuweka lami njia za mtaani muhimu ambazo zinakwepwa na wenye magari kutokana na ubovu wake.
 
Barabara zinazo jengwa ni majengo,na zilizo katikati ya mji ndizo ninzo fahamu na tena majengo wamesha lipwa wenye nyumba zilizo karibu na brbr
 
Mkuu,
Ungekuwa more specific ungetusaidia wakazi wa hapa! Ninavyoifahamu Arusha, karibu barabara zote za kuingia mjini zina lami tayari. Barabara za kutoka Moshi, Dodoma, Nairobi, Moshono, Mbauda, Njiro zote zina lami. Sijui mkataba unaouzungumzia ni wa barabara zipi. Au ni za sombetini, ungaltd, Ilboru, Majengo? Jaribu kuzipoint out ili tusherehekee vzuri!
kweli kabisa mkuu.......
 
Barabara zinazo jengwa ni majengo,na zilizo katikati ya mji ndizo ninzo fahamu na tena majengo wamesha lipwa wenye nyumba zilizo karibu na brbr
Barabara ipi ya majengo ya Tanapa mpaka barabara ya Nairobi au Majengo ya chini mpaka Nairobi Rd
 
Ni juavyo mimi barabara ambayo ikombiyoni kujengwa ni ile ya EAC itakayopita kule kisongo, jalalani, njiro..........
Uko sawa barabara hiyo itapita Ngaramtoni ya juu mpaka Njiro lakini hata hizi za ndani nazo zimo katika programe hiyo ya kuwekwa lami. Hivi CrashWise Arusha hakuna barabara za maana kabisa na hiyo ni programe ambayo ni lazima itekelezwe ili Arusha liwe jiji, moja ya sababu ya kuvuliwa ni hiyo ya barabara.
 
Habari za kuaminika ni kuwa barabara zote za ndani ya jiji la arusha na zinazoingia na kutoka ndani ya jiji zinatarajiwa kuwekwa lami zote.

Tayari mikataba ya kujenga barabara imeshasainiwa na kazi itaanza mwezi novemba mwaka huu. Tuombe wasije wakatokea chakachuzi wakaharibu kazi hii nzuri
.

Mi nilidhani mji unajengwa kileo kwa kuzingatia projections za ukuaji wa mji, pania barabara ili tuwe ngalau na mji mzuri tuliojenga wenyewe!!!

Maana yale ya CDA na Dododoma nia ibu hata kuyaongewlea....... Wakuu tu wenyewe wameshindwa kulienzi jiji lao la Idodomya!!! Wamebaki kupafanya mahala pa kwenda kustarehe na vimada!! Fyuuuuuuuu!!!!!!!!!!1
 
Mkakati ni mzuri endapo hautaingiliwa na kirusi katika utekelezaji, ila jiji la Arusha bado ni chafu ule mpango wa weka jiji safi siijui utaanza lini, unamkuta mtu mzima anatafuna miwa na kutupa maganda ovyo.
 
MPG & fmpiganaji

Ujenzi wa hizi barabara hauna uhusiano na CDM au Lema kwa taarifa yako hizi barabara zinagaramiwa na WB chini mradi wa kuboresha miundombinu ya EAC.Barabara itapitia maeneo ya Kisongo ,Njiro ,Moshono,KIA hadi Holili.

Barabara za katikati ya mji zipo chini ya mipango ya uendelezaji wa Jiji usisahau CDM wamewazuia madiwani wake wasishiriki nakushangaa unasahau mliwafukuza madiwani waligoma kususia vikao.Viongozi wa CDM wajue kuna baadhi ya maamuzi yatakuja kuwagharimu sana.

Safi sana,na itazidi kuwa ngome yetu CHADEMA

Kwa kweli wana Arusha hawatajuta kumchagua Lema kuwa mbunge wao
 
Hata kama hutaki lakini walau kiri ukweli tu Lema ndiye mbunge.Sijataja mambo ya CDM.Lema ni mbunge wa wote kaka.Acha kukurupuka.
 
kazi ingine ilobaki ni halmashauri kusimamia hizo fedha za ujenzi.
Mana ccm watafuna hela lazima wamege mihela hapo.
 
Back
Top Bottom