Jiji la Arusha hii ni AIBU!

Makamee

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
2,029
1,191
Kiukweli inavyosifiwa Arusha haifanani na misifa inayopewa.
1.Mitaa mingi ina nyumba mbavu za mbwa na iko 1km tu toka katikati ya jiji(Ngarenaro ovyo,Kambi ya fisi ovyo,Matejoo ovyo,Unga ltd ndo usiseme kila kitu ovyo.

2.Mibangi,Mirungi nje nje
Jiji gani hili wamelazimisha tu kua jiji.
 
Ccm hamjaamini kuwa mlikwisha lipoteza jimbo la arusha? Lema hana tatizo kabisa
 
Mambo mengine wala hayataki utashi wa kisiasa kwani mamlaka husika hazipo? Yaani ukifika pale Kona ya Nairobi upande wa chini ni hatari utacheka kuambiwa ndo uko ndani ya jiji.
 
Nilikuwa nakaa shamsi karibu na majengo na mbauda, timu yangu ilikuwa sanawari ya juu, mazoezi shule ya sekondari enaboishu, na nilikuwa nakwenda kwa miguu na kurudi. Arusha kamji kadogo saaana baado, nyumba nyingi za mabanzi, sanawari, matejoo mbauda, sekei unga ltd. Sana sana njiro, kijenge ndo atleast kuna nyumba nzuri
 
Mbavu za mbwa ndo matunda ya kukikataa chama tawala. Na bado mpaka ifike 2015 zitakuwa ni mbavu za panya..! Mtakula mstari boko mpaka mchague chama tawala..!
 
Hicho chama tawala kimetawala kwa muda gani huko Arusha? Mbona hakuna mabadiliko yoyote? Hakina jipya zaidi ya UFISADI TU, tupa kule!
 
Kama ni tatizo ni vyama vinavyotawala Arusha basi tusitegemee mabadiliko na ukuaji wa jiji hili,maana kila chama kinaogopa kuchukua hatua za kuvunja hivi mbavu za mbwa kwa kuogopa kuwakera wapiga kura wao.
 
Mbunge kashindwa VP kulibadilisha hilo jiji. Jamaa kanindokeza ni kambi ya kiti moto mirungi gongo bangi gundi na watumiaji wake ni ndo cdm members. ndo maana kukawa ni kuchafu sana. Mlevi saa ngapi atafanya usafi.
OK ndo sababu muda wote huko ni maandamano hakuna kufanyakazii. Ama kweli wajing a ndio waliwao.
Mbunge anaongoza walevi.
Jitahidini mpate kiongozi mwenye taalumu matapiga hatua. GENEVA OF AFRICA. HIVI NI KWELI A TOWN IPO HIVYO SIAMINI NTAKUJA NIJIONE. Duh Arusha hadi Ulaya ni jina kubwa kweli kweli
 
Kiukweli inavyosifiwa Arusha haifanani na misifa inayopewa.
1.Mitaa mingi ina nyumba mbavu za mbwa na iko 1km tu toka katikati ya jiji(Ngarenaro ovyo,Kambi ya fisi ovyo,Matejoo ovyo,Unga ltd ndo usiseme kila kitu ovyo.

2.Mibangi,Mirungi nje nje
Jiji gani hili wamelazimisha tu kua jiji.

Umemaiza!!!!!!!?????

Kwataarifa yako bila hayo maeneo uliyoyata hakuna jiji la Arusha...
 
Kiukweli inavyosifiwa Arusha haifanani na misifa inayopewa.
1.Mitaa mingi ina nyumba mbavu za mbwa na iko 1km tu toka katikati ya jiji(Ngarenaro ovyo,Kambi ya fisi ovyo,Matejoo ovyo,Unga ltd ndo usiseme kila kitu ovyo.

2.Mibangi,Mirungi nje nje
Jiji gani hili wamelazimisha tu kua jiji.

Umeona eenh?
 
Nilikuwa nakaa shamsi karibu na majengo na mbauda, timu yangu ilikuwa sanawari ya juu, mazoezi shule ya sekondari enaboishu, na nilikuwa nakwenda kwa miguu na kurudi. Arusha kamji kadogo saaana baado, nyumba nyingi za mabanzi, sanawari, matejoo mbauda, sekei unga ltd. Sana sana njiro, kijenge ndo atleast kuna nyumba nzuri

Umesahau Sakina?
 
Mbunge kashindwa VP kulibadilisha hilo jiji. Jamaa kanindokeza ni kambi ya kiti moto mirungi gongo bangi gundi na watumiaji wake ni ndo cdm members. ndo maana kukawa ni kuchafu sana. Mlevi saa ngapi atafanya usafi.
OK ndo sababu muda wote huko ni maandamano hakuna kufanyakazii. Ama kweli wajing a ndio waliwao.
Mbunge anaongoza walevi.
Jitahidini mpate kiongozi mwenye taalumu matapiga hatua. GENEVA OF AFRICA. HIVI NI KWELI A TOWN IPO HIVYO SIAMINI NTAKUJA NIJIONE. Duh Arusha hadi Ulaya ni jina kubwa kweli kweli

akili yako haizidi kijiko kimoja cha chai. Kabla ya Lema alikuwepo Mbunge wa CCM. Alifanya nini? Mnamuandama Lema lema mahakamani atatulia saa ngap afanye kazi? Na kwa Taarifa yako. Toka chadema waingie ndo kuna improvement. ARUSHA FOR LEMA and vice versa Fikiri wewe..!
 
Kiukweli inavyosifiwa Arusha haifanani na misifa inayopewa.
1.Mitaa mingi ina nyumba mbavu za mbwa na iko 1km tu toka katikati ya jiji(Ngarenaro ovyo,Kambi ya fisi ovyo,Matejoo ovyo,Unga ltd ndo usiseme kila kitu ovyo.

2.Mibangi,Mirungi nje nje
Jiji gani hili wamelazimisha tu kua jiji.

Sooo what take it or leave it.
 
Umenena ukweli kabisa japo wengi watatafsiri kinyume. Kimsingi kwa jina na ukweli Arusha ni tofauti. Serikali nadhani watalifanyia kazi. Maana ni aibu kwa kweli.
 
Back
Top Bottom