Jiji la Arusha chini ya CHADEMA lafanya maajabu

Halmashauri ya jiji la Arusha chini ya ukawa ndani ya miezi miwili limekusanya zaidi ya million 500 kutoka na faini na ushuru wa mabango tu kwa Mara ya kwanza.

Source: magazetini asubuhi
Cc lizaboni
Cc mcubic
Cc MOTOCHINI
CC Ritz
 
Chadema ndani ya arusha hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Jamaa umekaa kifacebook facebook
 
Hawa badala ya kupeleka mahindi Chamwino watu wamapokula mende wanatia fitina ya maneno kuhusu Arusha. Tuanzishe kampeni nchi nzima #CCMPELEKACHAKULACHAMWINO
Kweli kabisa mkuu watu wanafikia kula viwavi utadhani wapo ukanda wa vita
 

Attachments

  • 1452923793204.jpg
    1452923793204.jpg
    24.1 KB · Views: 21
Hawaoni huu uzi unawakera ,ngo sis wana Arusha tuendelee kufurahia maamuzi yetu ,hakika hatukukosea
Kweli kabisa mkuu hongereni sana kwa kufanya uchaguzi ulio sahii na kuifutilia mbali nyonya damu ccm
 
CCM wapelekeeni dodoma chakula wanakufa njaa kumbuken waliwachagua kwa kura nyingi, Arusha sis tunapambana kukusanya mapato tuendeleze sekta ya maji ,afya na miundombinu mingine ,wapelekeen dodoma chakula
 
Jamaa umekaa kifacebook facebook
Aliye ki facebook ni omwami na sasa kaangukia pua kwenye pac,teeeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh
 
Safi sana huyu meya tulio mpata mungu amuongize maana nijembeee ukiongeza na mh lema! Bonge lakolabo asee
 
Zionekane Ikileta mabadiliko, hasa maji, umeme na barabara. Hizi huduma bado ni changamoto haswa maeneo wanapoishi watu wengi wa jiji hilo.
 
Safi sana huyu meya tulio mpata mungu amuongize maana nijembeee ukiongeza na mh lema! Bonge lakolabo asee
Tunataka magamba yajihukumu yenyewe kuwa kazi yao ilikuwa ni kujaza matumbo yao badala ya kuwahudumia wana wa Arusha
 
CCM wapelekeeni dodoma chakula wanakufa njaa kumbuken waliwachagua kwa kura nyingi, Arusha sis tunapambana kukusanya mapato tuendeleze sekta ya maji ,afya na miundombinu mingine ,wapelekeen dodoma chakula
Cc Ritz
Cc lizaboni
 
Halmashauri ya jiji la Arusha chini ya ukawa ndani ya miezi miwili limekusanya zaidi ya million 500 kutoka na faini na ushuru wa mabango tu kwa Mara ya kwanza.

Kwa jina la baba na la mwana na la roho mtakatifu.Amina.EE mungu nakuomba hela zilizokusanywa hizi zinusuru zisije kuliwa na akina Godbless Lema.Amina.
 
Last edited:
Halmashauri ya jiji la Arusha chini ya ukawa ndani ya miezi miwili limekusanya zaidi ya million 500 kutoka na faini na ushuru wa mabango tu kwa Mara ya kwanza.

Source: magazetini asubuhi

Hongereni CHADEMA kwa kuwa wazi kuhusu makusanyo ingawa ni kawaida yenu kutaja kiasi hata mlichokusanya kwenye harambee na michango mbali mbali.Tatizo huwa mnakuwa mabubu na hamuwi wazi wa kuelezea klichokusanywa kimetumikaje.

Ni matarajio yangu kuwa kwa uwazi huu huu na matumizi ya hiyo pesa iliyokusanywa mtaleta matumizi yake yote hapa Jamii forums ikieleza kwa undani kila shilingi ilivyotumika katika hizo mlizo kusanya.

Hongereni kwa hayo makusanyo tunasubiri kwa hamu ripoti ya matumizi yake hapa hapa Jamii forums.
 
Ninatamani mameya wa UKAWA waweke number au emails za mawasiliano na public ili wapate michango mbali mbali ya wananchi namna ya kuleta maendeleo sahihi.

Naunga mkono. Msahiki Meya Kalisti Lazaro weka namba yako humu ili tukupe kero zetu. Kuna majipu mengi ya kutumbua hapa jijini Arusha.
 
Eti chini ya Ukawa, mabango yalianza kushushwa hata kabla ya maludio ya uchaguzi.
Miaka mitano back c walikuwa chadema hao hao mapato yalikuwa vipi?

HapaKaziTu


Mkuu usijitoe ufahamu kwamba mpaka mliua watanzania wenzenu mkifoji umeya!!!
Nadhani umesahau kuwa mnatakiwa mtumbuliwe
 
Maajabu ndo haya!! Siasa ni kama pombe ukizama sana unalewa...tufanye kilakitu kwa kiasi,kazi nyingine za kawaida tu kimataifa tunachekesha
 
Kil
hii ni habari nzuri, hongera halmashauri ya jiji la arusha. bila shaka hii inaendana na upepo ambao unavuma nchini wa hapa kazi tu. ongezeni bidii.
je, ile habari ya stendi ndogo ambayo imevuma humu wiki hii inashughulikiwa? pale ni dhahiri halmashauri inapoteza mapato ikiwa vile vibanda ni vya halmashauri. kazi kwenu.
Kila kitu kipo under control mkuu, ni mambo ya muda tu na yote yatakua shwari kabisa. Hii ndo Chuga bana aka Geneva of UKAWA ( Africa)
 
Back
Top Bottom