Jihadharini na mabasi ya Falcon | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jihadharini na mabasi ya Falcon

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mams, Apr 9, 2011.

 1. m

  mams JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2011
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 616
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wana JF, Nilikuwa nackia kuhusu huduma mbovu na uharibikaji mara kwa mara mabasi ya Falcon. Leo nimeshudia gari imetoka Ubungo saa 12.20 asubuhi na kuingia Mby saa sita na nusu usiku huu badala ya saa 11 jioni. Tukiwa njiani imesimama mara tano kwa ajili ya matengenezo na mara kwa mara niliskia malalamiko kutoka kwa abiria wakilalamikiwa na ndugu zao kwa nini walikata tiketi kampuni ya Falcon nikiwamo mimi mwenyewe. Mathalani, mizigo iliokuwemo ndani sijapata ona kwani seat tatu za nyuma na corridor zilikuwa full of mizigo achilia mbali buti na sijua walipitaje mizani zote. Speed staki kuisemea maana mapigo ya moyo yananienda mbio ila nashukuru nimefika. Muziki ulikuwa mzito na watu wamepitilizwa kwenye vituo vyao na sitaki kuyarudia majibu yao maana yanamemchefua jirani yangu japo aliwapigia kelele kwa sauti kubwa kablay kituo 'nashuka Uyole'! mpaka nikaamka na hata hivyo alishushwa Forest kwa Bhanj na akakodi taxi kurudi!. Haifai kwa msafiri yeyote isipokuwa asiye na programe esp mtalii na ambaye ni mpenzi wa kulala njiani. Take my words, isipokuwa wale wadadisi waendelee nao walete hapa data ku cement haya.
   
 2. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  falcon= kupewa mid finger
   
 3. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #3
  Apr 9, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Poleni sana ila kosa si kosa ila kurudia kosa ndio kosa next time mwangalie bus litakalo wafaa kunusuru maisha yenu na muda
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Apr 9, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Sasa wewe uliambiwa huduma huko mbovu ukaamua kupanda ilitaka kuthibitisha kama huduma ni mbovu ama?
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,277
  Likes Received: 19,430
  Trophy Points: 280
  keshajibu hapa ""Haifai kwa msafiri yeyote isipokuwa asiye na programe esp mtalii na ambaye ni mpenzi wa kulala njiani""
   
 6. Ipi dot com

  Ipi dot com JF-Expert Member

  #6
  Apr 9, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 267
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  tupande basi gani?
   
Loading...