illegal migrant
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,277
- 1,121
unaponunua vitu sabasaba hakikisha unapewa risiti, pale mlangoni kuna vijana wa jkt wanakagua kila anayetoka na mizigo na kukudai risiti kama huna wanakunyang'anya vitu au wanakuzuia kutoka jana yamenikuta nikiwa na mama mzazi ....mbaya zaidi ni kwamba nilikuwa nimenunua vitu kwa wajasiriamali wadogo ambao wanasema hawana risiti ikabidi nirudi kuwarudishia waloniuzia......ambao pia walikataa mpaka nikaenda kuwachukua wale vijana wa jkt.......siku yangu yote iliharibika