lutayega
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 1,288
- 552
Kuna utapeli unafanyika kupitia page ya facebook inayoitwa kona ya riwaya reloded. mi nimetapeliwa na mtu anayejiita BEKA MFAUME mwenye namba 0754893247 niliwasiliana naye akajitambulisha kwa jina hilo tukakubaliana nimtumie sh 5600 kwa njia ya mpesa ili anitumie soft copy ya kitabu chake cha siku ya utakaso ambacho aliahidi kukituma ndani ya siku mbili.
Toka nimemtumia hiyo pesa sasa ni mienzi miwili na nusu imepita na kila nikimkumbusha ananiahidi kunitumia ila hatumi. Nawapa angalizo kuwa makini na mtu huyo na kona ya riwaya reloded ili msije tapeliwa kama mimi.