Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,022
- 1,305
Labda lipo kwenye mchakato wa kuwakamataJeshi la polisi lina namba za simu na majina ya wamiliki wa simu hizo wanaotapeli wananchi kisha wanaleta taarifa za watu kuwa waangalifu badala ya kuleta taarifa kwamba matapeli hao wameshakamatwa na kupelekwa mahakamani!!! Tangazo halina professionalism ndani yake.
Wako buzy na wapinzani Wa fisiem, na kuzuia mikutano kwa kisingizio cha intelijensia ya kutokea fujo. Hilo ndo jeshi letu. Linakili udhaifu mbele ya adui wakati wanavitengo vyote.Jeshi la polisi lina namba za simu na majina ya wamiliki wa simu hizo wanaotapeli wananchi kisha wanaleta taarifa za watu kuwa waangalifu badala ya kuleta taarifa kwamba matapeli hao wameshakamatwa na kupelekwa mahakamani!!! Tangazo halina professionalism ndani yake.
Mkuu kuwakamata watu hao inahitaji umafia wa hatari sana,Jeshi la polisi kama wao hawawezi kwa sababu hawana gears(vifaa wezeshi) vya kuwa-track hao matapeli,na hao matapeli ni wajanja sana,so polisi ilichokifanya ni kuwatahadhaarisha watu kwamba number hizo zinafanya utapeli,wakati makachero wanawafatilia hao wezi na hao wezi wanaendelea kupiga watu kwa namba hizo hizo.Jeshi la polisi lina namba za simu na majina ya wamiliki wa simu hizo wanaotapeli wananchi kisha wanaleta taarifa za watu kuwa waangalifu badala ya kuleta taarifa kwamba matapeli hao wameshakamatwa na kupelekwa mahakamani!!! Tangazo halina professionalism ndani yake.
Wangewatafuta kimyakimya baada ya kuwakamata ndio watupe taarifa. Naona hii taarifa ni kama kuwashtua hao matapeli. Wanaweza badili hizo namba za simu.Jeshi la polisi lina namba za simu na majina ya wamiliki wa simu hizo wanaotapeli wananchi kisha wanaleta taarifa za watu kuwa waangalifu badala ya kuleta taarifa kwamba matapeli hao wameshakamatwa na kupelekwa mahakamani!!! Tangazo halina professionalism ndani yake.
Mhhhh haya banaMkuu kuwakamata watu hao inahitaji umafia wa hatari sana,Jeshi la polisi kama wao hawawezi kwa sababu hawana gears(vifaa wezeshi) vya kuwa-track hao matapeli,na hao matapeli ni wajanja sana,so polisi ilichokifanya ni kuwatahadhaarisha watu kwamba number hizo zinafanya utapeli,wakati makachero wanawafatilia hao wezi na hao wezi wanaendelea kupiga watu kwa namba hizo hizo.
Kwa nini mkuu?Ningeshangaa kama majina ya massawe na mwakalinga yangekosekana
Aisee kweli umefunguka.Jeshi la polisi lina namba za simu na majina ya wamiliki wa simu hizo wanaotapeli wananchi kisha wanaleta taarifa za watu kuwa waangalifu badala ya kuleta taarifa kwamba matapeli hao wameshakamatwa na kupelekwa mahakamani!!! Tangazo halina professionalism ndani yake.