Jihadhari na Car Service Magomeni

Sibonike

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
17,294
18,027
Yamenipata wakati nafanya service ya gari Gapco Magomeni mapipa.

Bila kuniuliza wamemwaga hydraulic oil ya gear box ambayo niliweka mara ya mwisho.

Ilikuwa ile original ya pale Kisangani Kariakoo. Nimestuka wanaweka ya Bongo.

Nilitamani nimpige mtu.

Mnaenda hapo mchukue tafadhali.
 
Ungeenda Oil com... wapo vizuri.. hapo hapo magomeni usalama..
 
Yamenipata wakati nafanya service ya gari Gapco Magomeni mapipa.
Bila kuniuliza wamemwaga hydrolic ya gear box ambayo niliweka mara ya mwisho. Ilikuwa ile original ya pale Kisangani Kariakoo. Nimestuka wanaweka ya Bongo. Nilitamani nimpige mtu.
Mnaenda hapo mchukue tafadhali.
Well, hapa naona unawaponda Gapco unawafagilia Kisangani. Huyo fundi labda amepitiwa au amefanya kimazoea, labda ungetoa tahadhari kwa watu wakienda kufanya service waseme exactly nini kinatakiwa kufanywa kwenye gari zao badala ya kutaja garage ambapo fundi wa siku hio kapitiwa.
 
Kuna siku pia nilikuwa nabadilisha oil ya engine dogo akamwaga ya gear box, ikabidi ninunue nyingine. Hiyo nyingine wakati inaingizwa jamaa sijui akatetemeka yaani anaanza tu akagongesha mkono sijui wapi ikamwagika karibu yote!
Inatokea ni bahati mbaya tu
 
[QUOTE="RRONDO, post: 15264101, member: Ndiyo maana ya kutoa tahadhali maana yake kuna wengine wanayo.
 
Ndiyo maana yak Kutoa tahadhali maana yake kuna wengine wanayo.[/QUOTE]
 
Well, hapa naona unawaponda Gapco unawafagilia Kisangani. Huyo fundi labda amepitiwa au amefanya kimazoea, labda ungetoa tahadhari kwa watu wakienda kufanya service waseme exactly nini kinatakiwa kufanywa kwenye gari zao badala ya kutaja garage ambapo fundi wa siku hio kapitiwa.
Mkuu, Kisangani wanauza spare parts na oil ambazo ni original kabisa. Hawafanyi service.
 
Kwa hao WAHINDI sio!!!?? Sio kila mtu anafurahia kuwapelekea pesa Wahindi. Mimi binafsi huwa napendelea kuwapa biashara Watanzania Asili inanipa faraja kujua hela itabaki hapa nchini katika mzunguko wa sisi masikini.
Nduvini sio muhindi ni mbongo
 
Tatizo ni kutosimamia zoezi, na kuamini fundi atafanya unachofikiri. Saa nyingine hutaki uchafuke, Inabidi uwe mkabala na fundi, wengine fundi akisha funga filter anaenda kuakiki imekazwa,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom