Jihadhari na agency(matapeli) wa td.joshua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jihadhari na agency(matapeli) wa td.joshua

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jul 20, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,606
  Likes Received: 5,780
  Trophy Points: 280
  Ndugu mpendwa pengine
  ni wakati mzuri umekuwa ukipenda kuangalia tv ya emmanuel kule nigeria ukimsikiliza
  mpaka mafuta td joshua..jana ilikuwa ni kasheshe mtoto mmoja kijana mwenye umri
  wa miaka kma 22 amekuwa akitumiwa na watu wa zambia cameroon kuleta watu kwenye kanisa
  akiwahakikishia watamwona td joshua..angalizo hili lilitokea pale mtumishi wa mungu alipokuwa
  akitembea na kumuita kijana na kumuiliza unajua ulichokuwa ukifanya sio kizuri ..jamaa akuamini
  akaanza kulia akamuita mbele akamwambia embu eelezea...akasema amekuwa agent wa kuleta watu huku nigeria
  kupitia kanisa la church of synagogue..na amekuwa akiwapatia watu reservations na kila kitu na kuwahakikishia
  kumwona appostle td joshua...katika hili amefanya sana kazi hizo na wengine amewatapeli akiwa niger akaamua kukimbilia nigeria...akiwa hapa ameleta watu wengi sana wakimlipa akishirikiana na watu kadhaa zambia.....

  Amekirikuwatapeli baadhi ya watu kupitia kanisa la td joshua na sasa ameomba amsamehe na atorudia tena akiwa amesimama
  wamama na wazee kadhaa waliamka na kudai wamekuwa wakidanganywa kuna makanisa uko kwao anashangaa amefika hapa wanasema awana kanisa kama hilo mbaya zaidi wamemtaja appostle mmoja mnigeria yuko cameroon amekuwa akiwambia watu kanisa lake lina connection na la td joshua wakati si kweli

  katika hatua nyingine tv emmanuel imekuwa ikitangaia watu makanisa yao yako wapi nakuwaakikishia watu wasiingie mkenge awana agncy wowote wakuwaletea watu huku nakama mtu unahitaji nenda Welcome to SCOAN | The Synagogue, Church Of All Nations | Home kuna form unajaza unarudisha na wanakutumia invitation na wala awana shid ana wewe na kukupa accomodation ndani ya kanisa na sio mahotelini kama wahuni awa wafanyavyo

  ndugu wapendwa nimewajulisha hivi kuna wakati si chini ya mwezi na nusu bibi yangu amekuwa mgonjwa pale aghakan akalazwa wakapita wamama wazuri wameshiba wanagawa karatasi za td joshua na number zao kama unaitajikusafiri uwasiliane nao ..akika sikua najua hili na jana imenifumbua machona kama wewe unaitajikwenda huko fwata sheria zao..anasema swala sio uponyaji tu ni manner unavyopokea uponyaji wao

  mungu akubariki nakukuepusha na hawa matapeli
   
Loading...