Jihadhari! Hawa ni watu Hatari sana unapokutana nao. Kaa nao kwa akili

Walisema "the hungry man is angry" ipo hivyo tu. Maskini wana matusi sana na hasira kisirani n.k hapa zaidi wenye umaskini komavu.umaskini wa akili hadi uchumi.

Maskini anapozungumzia umaskini wake anataka umsikilize... Ila wewe mwenye pesa ukianza zungumzia pesa au utajiri wako anabadilika ghafla na kujawa hasira.hapa huwa siwaelewi kabisa.

Nlipoanza nlianza na research ndogo sana nikawa najaribu kuzungumzia matatizo kama nami nayafahamu.nlipata watu wa kuniunga mkono sana kwa ile thread nikisema nina gari toyote bovu, naishi tabata...watu wakaona mi mwenzao.

Baadaye nikasema ngoja sasa niishi maisha yangu.watu wamenichukia sana na wanapoona threads zangu wanatoka povu.nliposema gari yangu toyota mbovu hakuna aliyeomba picha.

Nliposema nina shida kiuchumi hakuna aliyetaka uthibitisho.but naposema nipo njema sitaki msaada wa mtu najiweza.maskini,wenye njaa wanakasirika.

Wanatokwa povu, wanajawa ghadhabu. Epuka sana kugombana na mateja...wale ni watu hatari hawana cha kupoteza. Ndo kama hawa wasio na pesa.nao wanakuwa hawana cha kupoteza so nakaa nao kwa akili sana.

BY THE WAY...MIMI MZAZI WANGU MMOJA ANA ASILI YA NYANDA ZA JUU KUSINI. HUKO JIJINI. SO SITOKEI KANDA YA ZIWA HATA KIDOGO.WAZAZI WANGU WANAISHI SMETME BOTSWANA,SOUTH AFRICA,USA NA CANADA. HUKO KOTE WANA MIJENGO. NA HAPA TZ WANA NYUMBA JIJI LA MBEYA,ARUSHA NA DAR ES SALAAM.

NAIROBI PIA WANA APARTMENTS KIBAO MAENEO YA WESTLANDS NA WESTGATE. SO MNAKARIBISHWA
 
Nikweli, mfano upo kwa chadema ukitaja mapungufu ya Serikal wanakuona unajielewa sana, lakin sasa ujaribu kusema mapungufu ya chadema tu watakutukana kinoma yani.
 
Back
Top Bottom