Jihadhari! Hawa ni watu Hatari sana unapokutana nao. Kaa nao kwa akili

Bill Lugano

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
1,130
2,000
Walisema "the hungry man is angry" ipo hivyo tu. Maskini wana matusi sana na hasira kisirani n.k hapa zaidi wenye umaskini komavu.umaskini wa akili hadi uchumi.

Maskini anapozungumzia umaskini wake anataka umsikilize... Ila wewe mwenye pesa ukianza zungumzia pesa au utajiri wako anabadilika ghafla na kujawa hasira.hapa huwa siwaelewi kabisa.

Nlipoanza nlianza na research ndogo sana nikawa najaribu kuzungumzia matatizo kama nami nayafahamu.nlipata watu wa kuniunga mkono sana kwa ile thread nikisema nina gari toyote bovu, naishi tabata...watu wakaona mi mwenzao.

Baadaye nikasema ngoja sasa niishi maisha yangu.watu wamenichukia sana na wanapoona threads zangu wanatoka povu.nliposema gari yangu toyota mbovu hakuna aliyeomba picha.

Nliposema nina shida kiuchumi hakuna aliyetaka uthibitisho.but naposema nipo njema sitaki msaada wa mtu najiweza.maskini,wenye njaa wanakasirika.

Wanatokwa povu, wanajawa ghadhabu. Epuka sana kugombana na mateja...wale ni watu hatari hawana cha kupoteza. Ndo kama hawa wasio na pesa.nao wanakuwa hawana cha kupoteza so nakaa nao kwa akili sana.

BY THE WAY...MIMI MZAZI WANGU MMOJA ANA ASILI YA NYANDA ZA JUU KUSINI. HUKO JIJINI. SO SITOKEI KANDA YA ZIWA HATA KIDOGO.WAZAZI WANGU WANAISHI SMETME BOTSWANA,SOUTH AFRICA,USA NA CANADA. HUKO KOTE WANA MIJENGO. NA HAPA TZ WANA NYUMBA JIJI LA MBEYA,ARUSHA NA DAR ES SALAAM.

NAIROBI PIA WANA APARTMENTS KIBAO MAENEO YA WESTLANDS NA WESTGATE. SO MNAKARIBISHWA
 
Manofu

JF-Expert Member
Nov 3, 2018
1,311
2,000
Mh. Sana kuduku lilo just live your life fanya kile moyo wako u anajisikia life span ya Mtanzania ni 50yrs sasa ukianza kupumbazwa nawanao kudiss unapunguza ata hyo life span. Wewe enjoy maisha yako to the muximum.
 
KOLOKOLONI

JF-Expert Member
Mar 7, 2014
2,001
2,000
Walisema "the hungry man is angry" ipo hivyo tu. Maskini wana matusi sana na hasira kisirani n.k hapa zaidi wenye umaskini komavu.umaskini wa akili hadi uchumi.

Maskini anapozungumzia umaskini wake anataka umsikilize... Ila wewe mwenye pesa ukianza zungumzia pesa au utajiri wako anabadilika ghafla na kujawa hasira.hapa huwa siwaelewi kabisa.

Nlipoanza nlianza na research ndogo sana nikawa najaribu kuzungumzia matatizo kama nami nayafahamu.nlipata watu wa kuniunga mkono sana kwa ile thread nikisema nina gari toyote bovu, naishi tabata...watu wakaona mi mwenzao.

Baadaye nikasema ngoja sasa niishi maisha yangu.watu wamenichukia sana na wanapoona threads zangu wanatoka povu.nliposema gari yangu toyota mbovu hakuna aliyeomba picha.

Nliposema nina shida kiuchumi hakuna aliyetaka uthibitisho.but naposema nipo njema sitaki msaada wa mtu najiweza.maskini,wenye njaa wanakasirika.

Wanatokwa povu, wanajawa ghadhabu. Epuka sana kugombana na mateja...wale ni watu hatari hawana cha kupoteza. Ndo kama hawa wasio na pesa.nao wanakuwa hawana cha kupoteza so nakaa nao kwa akili sana.

BY THE WAY...MIMI MZAZI WANGU MMOJA ANA ASILI YA NYANDA ZA JUU KUSINI. HUKO JIJINI. SO SITOKEI KANDA YA ZIWA HATA KIDOGO.WAZAZI WANGU WANAISHI SMETME BOTSWANA,SOUTH AFRICA,USA NA CANADA. HUKO KOTE WANA MIJENGO. NA HAPA TZ WANA NYUMBA JIJI LA MBEYA,ARUSHA NA DAR ES SALAAM.

NAIROBI PIA WANA APARTMENTS KIBAO MAENEO YA WESTLANDS NA WESTGATE. SO MNAKARIBISHWA
Onyesha gari unayotembelea broo.Tajiri anuniwi.Yaani Mimi nikishajua wewe ni tajiri Mimi nakufungulia get fasta na shikamoo nyingi zikiambatana na salute za kutosha.Shikamoo bosi.
 
JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
3,607
2,000
Walisema "the hungry man is angry" ipo hivyo tu. Maskini wana matusi sana na hasira kisirani n.k hapa zaidi wenye umaskini komavu.umaskini wa akili hadi uchumi.

Maskini anapozungumzia umaskini wake anataka umsikilize... Ila wewe mwenye pesa ukianza zungumzia pesa au utajiri wako anabadilika ghafla na kujawa hasira.hapa huwa siwaelewi kabisa.

Nlipoanza nlianza na research ndogo sana nikawa najaribu kuzungumzia matatizo kama nami nayafahamu.nlipata watu wa kuniunga mkono sana kwa ile thread nikisema nina gari toyote bovu, naishi tabata...watu wakaona mi mwenzao.

Baadaye nikasema ngoja sasa niishi maisha yangu.watu wamenichukia sana na wanapoona threads zangu wanatoka povu.nliposema gari yangu toyota mbovu hakuna aliyeomba picha.

Nliposema nina shida kiuchumi hakuna aliyetaka uthibitisho.but naposema nipo njema sitaki msaada wa mtu najiweza.maskini,wenye njaa wanakasirika.

Wanatokwa povu, wanajawa ghadhabu. Epuka sana kugombana na mateja...wale ni watu hatari hawana cha kupoteza. Ndo kama hawa wasio na pesa.nao wanakuwa hawana cha kupoteza so nakaa nao kwa akili sana.

BY THE WAY...MIMI MZAZI WANGU MMOJA ANA ASILI YA NYANDA ZA JUU KUSINI. HUKO JIJINI. SO SITOKEI KANDA YA ZIWA HATA KIDOGO.WAZAZI WANGU WANAISHI SMETME BOTSWANA,SOUTH AFRICA,USA NA CANADA. HUKO KOTE WANA MIJENGO. NA HAPA TZ WANA NYUMBA JIJI LA MBEYA,ARUSHA NA DAR ES SALAAM.

NAIROBI PIA WANA APARTMENTS KIBAO MAENEO YA WESTLANDS NA WESTGATE. SO MNAKARIBISHWA
Mshukuru Mungu,kwa kuzaliwa kwenye ukwasi,
Sio wote tunaoishi uswazi tuna chuki binafsi,
Sisi wengine,tupo uswazi,hata ka IST hatuna,lakini tuna marafiki wenye mi vogue,tena plate number,wameweka majina yao,lakini tunaishi vzr tu,tukiwa na vikao vya mtaani,wao wanakuja na ndinga zao,mimi natia timu na bodaboda,tunakaa tunapiga story,kula,wao wanaagiza madude ya bei mbaya,sie wala hatuoni tabu,na maji yetu ya Kilimanjaro na coke,hatumuonei mtu wivu,why should we?
Mungu humpa amtakae!
Hatuna material wealthy !lakini brain zetu zinachaji,tukikaa na hawa waliobarikiwa,tunashusha nondo balaa,tunakuwa kitu kimoja,
Bro! Kuwa na mali sio kitu cha ajabu,na kumbuka,kwenye maisha,lazima kuna mtu anayekuzidi,iwe elimu,mali,uzuri,nk
We na mali zako,sio tajiri kama Mengi,wala humfikii Mo dewji,na wote hao hawamfikii Dangote.
Be humble boy!
 
rikiboy

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
14,188

Kimbaa tu huyoo
 
Mtafiti77

JF-Expert Member
Oct 31, 2011
1,469
2,000
Hako katabia kapo sana miongoni mwetu. Eti ukiwa mambo safi, lazima ujishushe balaa, yani mpaka hata kukiwa na mtaro wa maji machafu basi lala hapo ili wakufanye daraja, hivyo ndivyo tunataka. Ninadhani ubinafsi unatusumbua sana.
 
Good Father

JF-Expert Member
Feb 28, 2014
9,175
2,000
Walisema "the hungry man is angry" ipo hivyo tu. Maskini wana matusi sana na hasira kisirani n.k hapa zaidi wenye umaskini komavu.umaskini wa akili hadi uchumi.

Maskini anapozungumzia umaskini wake anataka umsikilize... Ila wewe mwenye pesa ukianza zungumzia pesa au utajiri wako anabadilika ghafla na kujawa hasira.hapa huwa siwaelewi kabisa.

Nlipoanza nlianza na research ndogo sana nikawa najaribu kuzungumzia matatizo kama nami nayafahamu.nlipata watu wa kuniunga mkono sana kwa ile thread nikisema nina gari toyote bovu, naishi tabata...watu wakaona mi mwenzao.

Baadaye nikasema ngoja sasa niishi maisha yangu.watu wamenichukia sana na wanapoona threads zangu wanatoka povu.nliposema gari yangu toyota mbovu hakuna aliyeomba picha.

Nliposema nina shida kiuchumi hakuna aliyetaka uthibitisho.but naposema nipo njema sitaki msaada wa mtu najiweza.maskini,wenye njaa wanakasirika.

Wanatokwa povu, wanajawa ghadhabu. Epuka sana kugombana na mateja...wale ni watu hatari hawana cha kupoteza. Ndo kama hawa wasio na pesa.nao wanakuwa hawana cha kupoteza so nakaa nao kwa akili sana.

BY THE WAY...MIMI MZAZI WANGU MMOJA ANA ASILI YA NYANDA ZA JUU KUSINI. HUKO JIJINI. SO SITOKEI KANDA YA ZIWA HATA KIDOGO.WAZAZI WANGU WANAISHI SMETME BOTSWANA,SOUTH AFRICA,USA NA CANADA. HUKO KOTE WANA MIJENGO. NA HAPA TZ WANA NYUMBA JIJI LA MBEYA,ARUSHA NA DAR ES SALAAM.

NAIROBI PIA WANA APARTMENTS KIBAO MAENEO YA WESTLANDS NA WESTGATE. SO MNAKARIBISHWA
Hapa jf maboss wengi tu
Kuna mawaziri, madaktari, makatibu wakuu na watu aina zote, ni ngumu kuona wanajinadi humu.

Lakini katika nchi nyingi maskini wanakua wengi kuliko population zingine. Hoja yangu ni kwamba maskini hapendi kuona tajiri anajivuna na kutoa kejeli mbele yake maana hiyo huleta uchungu moyoni, we kula bata kimya kimya, safari yetu sote ni kutafua hela then tunaishi siku ikifika Mungu anatuchukua wanakuja wengine.

Katika siku hizi chache za uhai ni kutafuta hela tuishi maisha matamu kama yako unayoeleza hapa.

All the best mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom