Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,299
- 33,080
Karata zinaweza kusoma akili yako haya jaribu kucheza. Kabla ya kuche uwe muangalifu wa kuchagua karata yako kisha bonyeza hapo palipo andikwa Here zitafunguka karata unachotakiwa uchague karata moja tu uiweke moyoni mwako
Click here when you are ready to start.
Ukisha bonyeza hapo palipo andikwa (Here) itafunguka hivi angalia hapo chini
Sasa chagua karata yoyote ile unayo taka kwamfano mimi ninachagua karata ya K ya kopa kisha nitabonyeza tena hapo palipo andikwa hivi (Here)
kisha nitabonyeza tena hapo chini maandishi tena hayo yalioandikwa hivi (Here) hiyo karata niliyo chaguwa itakuwa imepotea ndio uchawi wenyewe wa karata jinsi zinavyokusoma akili yako jaribuni wabongo kisha munie feedback angalia sasa
Haya tena (K) ya kopa imekimbia ninashangaa Computer imejuaje kama nimechagua karata ya (k) ya kopa?
Computers Can Read Your Mind!
This site will attempt to read your mind, please follow the instructions carefully.Click here when you are ready to start.
Ukisha bonyeza hapo palipo andikwa (Here) itafunguka hivi angalia hapo chini
I shall now attempt to read your thoughts. Please mentally select a card and concentrate on it. |
Sasa chagua karata yoyote ile unayo taka kwamfano mimi ninachagua karata ya K ya kopa kisha nitabonyeza tena hapo palipo andikwa hivi (Here)
kisha nitabonyeza tena hapo chini maandishi tena hayo yalioandikwa hivi (Here) hiyo karata niliyo chaguwa itakuwa imepotea ndio uchawi wenyewe wa karata jinsi zinavyokusoma akili yako jaribuni wabongo kisha munie feedback angalia sasa
Haya tena (K) ya kopa imekimbia ninashangaa Computer imejuaje kama nimechagua karata ya (k) ya kopa?
The MASTER wizard has selected your card and has removed it from the pile. Ukitaka kujaribu kivyako bonyeza hapa Magic - home: Computers can read your mind! |