Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,936
- 40,518
Hivi kidhungu kina nini ??. Yaani graph langu linashuka kwa kasi
Achana na watoto mchele mchele hao. Wamezoea kudekezwa, kwa hiyo hata andika yao ni ya kimideko.
Halafu utakuta ni wa kiume.