JIFUNZE: Tengeneza Mwili wa chini bila kuingia Gym

Leg press na leg extension zipo vizuri sana hii ni kama upo gym.

Kama hauingii gym squats za kawaida na za visigino kuinuka zipo vizuri.
Hivi ni kwa nini mtu akifanya mazoezi ya Kujenga mwili aka acha huwa anapungua sana, na je haiwezekan kuacha na kumaintain body?
Me nataka nianze mazoezi lakini kuna kipindi ntakuwa na shughuli nyingi hivyo ntashindwa kuwa na ratiba ya mazoezi, wanishauri nini hapo?
 
Kuacha na kumaintain hutegemea na mahitaji ya mfanya mazoezi, mfano mtu ambaye bodybuilding ni maisha/ ajira yake tuchukulie Arnold au Simeon Panda hawawezi kupungua mpaka kua kama bakora kwa kua ni maisha yao.
Na ili usipungue kabisa unatakiwa uendelee kula clean na angalau uwe unafanya mazoezi kwa kiasi ingawa haitolingana na kipindi cha mwanzo.
 
Elezea mkuu.
Hii ni leg press

Leg_press_M_WorkoutLabs.png

Gym zilizokamilika hua zina leg press machine hapo ndiyo utafanyia zoezi lako. Kama utakua unapiga zoezi la mguu seti nzima napendekeza kila zoezi liwe na seti tatu.

Hii ni leg extension ukiwa umekaa.

Seated_Machine_Leg_Extensions.png

Kwa kawaida gym zenye leg press machine hua hazikosi na extension machine, napendekeza seti kama za hapo juu.

Hii ni leg extension ukiwa umelala.

ed6ed5d53e5de656cdf9ec86248f07b7.jpg

Watu wengine huiita leg curls, gym iliyo kamili hata hii mashine hautaikosa na yenyewe idadi ya seti iwe kama za hapo juu.

NB.
Picha zimetoka mtandaoni.
 
Hii ni leg press

View attachment 474179

Gym zilizokamilika hua zina leg press machine hapo ndiyo utafanyia zoezi lako. Kama utakua unapiga zoezi la mguu seti nzima napendekeza kila zoezi liwe na seti tatu.

Hii ni leg extension ukiwa umekaa.

View attachment 474180

Kwa kawaida gym zenye leg press machine hua hazikosi na extension machine, napendekeza seti kama za hapo juu.

Hii ni leg extension ukiwa umelala.

View attachment 474182

Watu wengine huiita leg curls, gym iliyo kamili hata hii mashine hautaikosa na yenyewe idadi ya seti iwe kama za hapo juu.

NB.
Picha zimetoka mtandaoni.
Sasa mkuu mazoezi yote unayofundisha hapa pamoja na hili la leg extension/press yanaanza kuonekana yamejengeka mwilini baada ya muda gani tangu uanze gym?
 
Sasa mkuu mazoezi yote unayofundisha hapa pamoja na hili la leg extension/press yanaanza kuonekana yamejengeka mwilini baada ya muda gani tangu uanze gym?
Matokeo ya mazoezi tukisema ya kwamba vitu vyote vipo kama inavyohitajika mfano chakula, muda wa kupumzika, maji na kila kitu na hautumii supplements ni wiki sita.
 
Matokeo ya mazoezi tukisema ya kwamba vitu vyote vipo kama inavyohitajika mfano chakula, muda wa kupumzika, maji na kila kitu na hautumii supplements ni wiki sita.
Lakini mazoezi kila siku gym si yanapunguza mwili au inatakiwa vipi?
 
Lakini mazoezi kila siku gym si yanapunguza mwili au inatakiwa vipi?
Ndiyo maana nikasema kupumzika.
Na kupumzika kimazoezi ni kwamba katika wiki haufanyi zoezi moja kila siku.

Mfano hii ndiyo hua ratiba yangu;
J/tatu = Bench (Kifua)
J/nne = Squats (Miguu)
J/tano = Shoulders (Mabega)
A/hamisi = Back (Mgongo)
Ijumaa = Bench (Marudio)
J/Mosi = Squats (Marudio) au kukimbia
J/pili = Mapumziko
 
Kwa ratiba hizo mkuu maana yake kama ni squart utafanya mara mbili kwa wiki yaani sawa na mara kumi na mbili kwa wiki sita, je kwa muda huo kweli kunaweza kuwa na effect yenye kuonekana?
 
Kwa ratiba hizo mkuu maana yake kama ni squart utafanya mara mbili kwa wiki yaani sawa na mara kumi na mbili kwa wiki sita, je kwa muda huo kweli kunaweza kuwa na effect yenye kuonekana?
Kabisa, ingawa kama hatutatilia maanani swala la genes za mhusika, effects hazitaenda sambamba na mwili wa juu hii ni kwa kua mwili wa juu body receptors zake zinaitika haraka kushinda za mwili wa chini.
 
Genes unamaanisha kwamba kuna watu miili yao iko hivyo na haibadiliki hata kwa mazoezi?
 
Hahahahaha hapana namaanisha kuna watu kutokana na genes kuna sehemu za mwili hupokea mazoezi haraka kushinda watu wengine.

Mwili ni utabadilika tu kama siyo effect A utabadilika kwa effect B
Nimekuelewa sana mkuu, na kuhusu mlo wa siku nzima ukoje ili ujenge mwili na kuupa mwili nguvu?
 
Nimekuelewa sana mkuu, na kuhusu mlo wa siku nzima ukoje ili ujenge mwili na kuupa mwili nguvu?
Chakula chako kitategemea na nini unataka kitokee baada ya kufanya gym kua eneo la kutembelea mara kwa mara yaani unataka mwili mkubwa sana au wa kawaida tu.

Bonyeza username yangu, nenda kwenye posts ingia kwenye uzi unaosema 'Jinsi ya kutengeneza mwili bila kuingia gym' halafu kaisome post namba 77 nimeelezea namna gani nakula natumaini nitakupa mwanga.
 
Back
Top Bottom