Nimefanya Malipo Jana AliEpress ya saa ya mkononi kwa lengo la kujenga uzoefu,leo nimeambiwa mzigo ushatoka,kati ya siku 23_35 ntapokea...LEMFO smartwatch usd 44.99 ,hawa AliEpress
 
Rudi kacheki utakuwa tayari umefika.
Mimi mzigo wangu nimeutrack tarehe 2 juni umefika nchini na tracking namba naona enaexpire mzigo ukishafika nchini na mm niko mkoani nimefika ofisi ya mkoani tarehe 13 mzigo haujafika kwa walioko mikoani wenye uzoefu inachukua mda gani mimi niko Ruvuma.
 
Salute jf!
Mimi ni mjasiriamali mdogo nataka nianze kununua bidhaa alibaba...

Huwa nanunua sana aliexpress ambaye ni mtoto wa alibaba

Sasa kule naona vitu ni cheap ila na waswas sana naombeni mnisaidie haya maswali kwa waliowahi kununua..

Kwa mizigo midogo midogo wanatuma kwa njia ya posta?

Jee kufika kwa mzigo?

Jee usalama wa pesa?

Vipi kuhusu kuhusu wauzaji ambao ni verfied na wana miaka zaidi ya miwili kule jee ni salama kununua hata kulipa bila wasiwasi maana wapo verfied na pia trade assuarance?

Vipi njia za express wanatumia njia gani??

Vipi kuwahi kwa mizigo?

Ni kweli kuna matapeli na wizi?jee namna ya kukwepa wanunuzi mnazingatia nini??

Kiukweli nanunuaga aliexpress ila alibaba mm mgeni sana tafadhali nisaidieni maswali yangu hapo juu
 
1.For your package it depends on you how you want it to be shipped. You are the one who will tell your supplier to ship it either by sea or freight

2.If you want your money to be safe PLEASE DO ALL YOUR TRANSACTION THROUGH TRADE ASURANCE
3. For you safety please chat on Ali baba only do not negotiate through any other form i.e whatsap, Face book etc
Why use Trade Assurance???????
Trade Assurance covers you in the event of shipping or quality-related disputes.

The supplier will send you a link to pay i repeat never do transaction outside Alibaba you will loose your money to conmen

To get your package it depends with the mode of transport

Air transport is the fastest here you will get your package fast it will take you like seven days for you to get it
Ship will take like four months
 
Thank you very much friend...how about postal shipping method for a middle packages?Vipi kwa posta wanatumaga unafika faster??

Utanisamehe sana maswali yangu yanaweza kuwa mengi....
 
1.For your package it depends on you how you want it to be shipped. You are the one who will tell your supplier to ship it either by sea or freight

2.If you want your money to be safe PLEASE DO ALL YOUR TRANSACTION THROUGH TRADE ASURANCE
3. For you safety please chat on Ali baba only do not negotiate through any other form i.e whatsap, Face book etc
Why use Trade Assurance???????
Trade Assurance covers you in the event of shipping or quality-related disputes.

The supplier will send you a link to pay i repeat never do transaction outside Alibaba you will loose your money to conmen

To get your package it depends with the mode of transport

Air transport is the fastest here you will get your package fast it will take you like seven days for you to get it
Ship will take like four months
Na hili la kutuma sample jee maana nimeona wakisisitizia wao ni kwamba inakuaje au ni mimi ndo nalipia?
 
1.For your package it depends on you how you want it to be shipped. You are the one who will tell your supplier to ship it either by sea or freight

2.If you want your money to be safe PLEASE DO ALL YOUR TRANSACTION THROUGH TRADE ASURANCE
3. For you safety please chat on Ali baba only do not negotiate through any other form i.e whatsap, Face book etc
Why use Trade Assurance???????
Trade Assurance covers you in the event of shipping or quality-related disputes.

The supplier will send you a link to pay i repeat never do transaction outside Alibaba you will loose your money to conmen

To get your package it depends with the mode of transport

Air transport is the fastest here you will get your package fast it will take you like seven days for you to get it
Ship will take like four months
Halaf pale nimeona mahali wanataka shipping date required baada ya kulipa hapo nashindwa kuelewa wanataka tarehe ya mzigo wako utumwe au wanataka siku ngapi?ufafanuzi tafadhali
 
Back
Top Bottom