worms
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 964
- 893
Mkuu naomba unambie huwa unanunua site zipi?Mara nying nanunua viatu na saa , lakn hawa Ndugu zetu TRA ndo walinifanya kuogopa kutu.ia DHL nikawa natumia posta , hasara ya posta mzigo unachelewa kufika ... Ntajaribu kuangalia hayo makampuni ya forwdr
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app