Ghalama zao ziko juu.

Mfano
- Kwa mzigo wa 1kg mimi natoza US $44, kwa mzigo utakao upata ndani ya siku 8-14
- Lakini kwa wao ghalama kwa hiyo 1kg inaanzia us $61.57

- Pia wakati wao wanashughulika na manunuzi ya CHINA na USA, Kwa mimi kupitia huduma ya BUY4ME ninafanya karibia mahara popote pale iwe ni Australia, Canada, Japan, China, Thailand, Dubai, Germany, Uk, US, South Africa, etl kwa zaidi ya mataifa 20 naweza kukununulia mzigo na ukakufikia nchini ndani ya muda husika kati ya siku 8 hadi 14tu.

Karibu: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForums
1539497565413.png

kwenye forward nyingine hawa nawakubali------free consolidation,60 days free storage,buy for me,No membership fees,No monthly fees,partnership with US Postal Service, FedEx and DHL...Pia wana buy from china.....Package & Mail Forwarding Service for US Online Shopping - USGoBuy Mwl.RCT JZHOELO
 
Ghalama zao ziko juu.

Mfano
- Kwa mzigo wa 1kg mimi natoza US $44, kwa mzigo utakao upata ndani ya siku 8-14
- Lakini kwa wao ghalama kwa hiyo 1kg inaanzia us $61.57

- Pia wakati wao wanashughulika na manunuzi ya CHINA na USA, Kwa mimi kupitia huduma ya BUY4ME ninafanya karibia mahara popote pale iwe ni Australia, Canada, Japan, China, Thailand, Dubai, Germany, Uk, US, South Africa, etl kwa zaidi ya mataifa 20 naweza kukununulia mzigo na ukakufikia nchini ndani ya muda husika kati ya siku 8 hadi 14tu.

Karibu: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForums
View attachment 897602
mkuu hujaona iyo 2-8 days kwa $37.12
 
mkuu hujaona iyo 2-8 days kwa $37.12
Angalia tena vizuri.

Hizo ni weeks, Sio siku, Angalia vyema sehemu niliyo shade green

Ni bora kununua direct ALIEXPRESS nautapata mzigo ndani ya mda mfupi na kwa ghalama nafuu.
 
Ni kwel boss nilisoma vibaya ni weeks sio days
Changamoto kubwa ya hizi kampuni za USA ni ghalama kubwa (hidden cost),
Nimewahi telekeza mzigo wenye thamani ya Dola 60, ambao ilitakiwa ulipiwe ghalama ya kusafirishia Dola 350, kuja Tanzania. Hivyo tumia hizo huduma kwa tahadhari.
 
Ni kwel niliwatumiaga usbuy zile siku zao za ofa ziliisha ikawa kila siku 1$ inaongezeka yan kwao ni moja kwetu ndio ivyo mlo wa siku kabisa
Changamoto kubwa ya hizi kampuni za USA ni ghalama kubwa (hidden cost),
Nimewahi telekeza mzigo wenye thamani ya Dola 60, ambao ilitakiwa ulipiwe ghalama ya kusafirishia Dola 350, kuja Tanzania. Hivyo tumia hizo huduma kwa tahadhari.
 
Ni kwel niliwatumiaga usbuy zile siku zao za ofa ziliisha ikawa kila siku 1$ inaongezeka yan kwao ni moja kwetu ndio ivyo mlo wa siku kabisa
Ghalama zao ziko juu.

Mfano
- Kwa mzigo wa 1kg mimi natoza US $44, kwa mzigo utakao upata ndani ya siku 8-14
- Lakini kwa wao ghalama kwa hiyo 1kg inaanzia us $61.57

- Pia wakati wao wanashughulika na manunuzi ya CHINA na USA, Kwa mimi kupitia huduma ya BUY4ME ninafanya karibia mahara popote pale iwe ni Australia, Canada, Japan, China, Thailand, Dubai, Germany, Uk, US, South Africa, etl kwa zaidi ya mataifa 20 naweza kukununulia mzigo na ukakufikia nchini ndani ya muda husika kati ya siku 8 hadi 14tu.

Karibu: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForums
View attachment 897602
Changamoto kubwa ya hizi kampuni za USA ni ghalama kubwa (hidden cost),
Nimewahi telekeza mzigo wenye thamani ya Dola 60, ambao ilitakiwa ulipiwe ghalama ya kusafirishia Dola 350, kuja Tanzania. Hivyo tumia hizo huduma kwa tahadhari.
Nataka hili box hapo inaonesha sh 209k, vp gharama mpaka inifikie kupitia kwako?
 
Ghalama inatokana na
- Njia ya usafirishaji itakayotumika.
- Uzito wa package husika.
- Je kutakuwa na tozo la kodi/VAT au la?

Hivyo ni vigumu kukupa hesabu kamili

1. Je hiyo item iko website ipi?
2. Nipatie link yake
 
Kwa mimi nilie mwanza nikiagiza kati delicate mfano laptop, hapo nitaipata vip kwa hapa mwanza,
 
Kuna hawa jamaa wanaoitwa EasyBuy kuna mtu ana experience nao? Gharama, Muda wa Mzigo Kufina Nk?
Nadhani wako na Office somewhere Oysterbay.
 
Salaam ndugu zangu wa Jf..
Kwa kitambo humu nimekuwa nikiona nyuzi zinazohusu manunuzi kwa njia ya mitandao(online shopping) kwa sites kama Amazon, eBay, alibaba n.k,na niseme tu sikuwa na wazo la kufanya manunuzi mtandaoni kwani kila ambacho ningekitaka kutoka nje ya nchi nakipata kwa urahisi tu bila hata hiyo online shopping, sasa kutokana na kusoma nyuzi mbalimbali humu namimi nikavutiwa kutaka kujua humo eBay na amazon kuna nini la ajabu si ndio nkadownload app ya ebay hili nipate kujua yaliyomo..sasa ile kuingia tu mtandaoni nakuta vitu vipo on sale kwa bei ya nyanya tu halafu vitu vya ukweli hadi roho inauma kwakweli(mifano mtaiona nimesreenshot baadhi ya bidhaa na bei zake muione) kwa mfano kuna simu inauzwa USD 38. Nyingine 12$ nkasema this is something amazing bei ya fungu la dagaa wanauza smartphone wana utani hawa..pia kuna nguo bei rahisi ambapo ni wazi kabisa kwa huku bongo ni ghali mno ..

Sasa swali langu ni kuwa hizi bei ni za kweli au wanatupunga tu watupige changa la macho? Na je kuna aliyefanikiwa kununua vitu hivyo kwa bei hiyo?
#N.B-Moderators samahani sana najua kuna nyuzi nyingi humu kuhusu hii topic lakini zimecontain mawazo tofauti mimi hapa nataka kujua jambo lililoelekezwa hapo kwahyo naomba msiunganishe na Uzi mwingine wapendwa asanteni

#Nayvadius Jeffrey Aweso
#TADPOLE
Screenshot_20181031-103143.jpeg
Screenshot_20181031-103027.jpeg
Screenshot_20181031-102943.jpeg
Screenshot_20181031-102929.jpeg
Screenshot_20181031-102935.jpeg
 
Back
Top Bottom