Ukipenda bidhaa......ifungue.....
Utapata maelekezo yote ya jinsi ya kununua.....
Binafsi nilishawahi kuagiza kitu na nikakipata......
Unaweza mkajadiliana bei pia.......
 
Mkuu unataka kuagiza biadhaa moja au nyingi?
Tambua hili,
Alibaba ni muuzaji wa jumla (wholesale) huku untakiwa kununua bidhaa kuanzia pics kadhaa mfano unakuta seller ameku-limit min order ni 20pcs,

Aliexpress ni mtoto wa Alibaba, maana yangu ni kuwa Aliexpress inahusika na uuzaji wa rejareja huku unaweza kununua bidhaa kuanzia moja na kuendelea, japokuwa hata Alibaba unao uwezo wa kununua 1pc lakini inategemea na bidhaa mfano huwezi ukauza mashina ya kulimia kwa min order 20pcs.

Kuna Platform zingine kama Globalsources, Made-in-china, Banggood,klipkart, Gearbest, n.k
 
nikiingia pale seller ananiuliza kama nina Urgent wangu wa AirCargo sasa sijaelewa vizuri hiyo inakuaje? Au wewe ulifanyaje...
 
Mkuu unataka kuagiza biadhaa moja au nyingi?
Tambua hili,
Alibaba ni muuzaji wa jumla (wholesale) huku untakiwa kununua bidhaa kuanzia pics kadhaa mfano unakuta seller ameku-limit min order ni 20pcs,

Aliexpress ni mtoto wa Alibaba, maana yangu ni kuwa Aliexpress inahusika na uuzaji wa rejareja huku unaweza kununua bidhaa kuanzia moja na kuendelea, japokuwa hata Alibaba unao uwezo wa kununua 1pc lakini inategemea na bidhaa mfano huwezi ukauza mashina ya kulimia kwa min order 20pcs.

Kuna Platform zingine kama Globalsources, Made-in-china, Banggood,klipkart, Gearbest, n.k
Niliona kuna bidhaa kama memory card nyingine min order ni 10 je nafanyaje nafanyaje kwasababu walinambia wanamtaka ajenti wa AirCargo na mm sielewi naweza nikampata vp?
 
Je na hizo Globalsources, Made-in-china, Banggood,klipkart, Gearbest mfumo wao umekaa vp?
 
Kuna shipping agent wanaotuma mizigo kuja TZ kama GNM na Unique Air Cargo n.k, kuwapata hawa ingia instagram then search Unique air Cargo au GNM utapata wasiliano yao
 
Made in China na Global-sources ni wauzaji wa jumla kutoka China, ila Klipkart kutoka INDIA, Gearbest na Ganggood hawa ni wauzaji wa rejareja
 
alibaba hata rejareja huwa anauza. kuna baadhi ya seller
Yes wapo ila shida inakuja ni gharama za udafiri, mfano Supplier anauza min order mfano memory card GB 32 min order ni pc 1 ambayo tuseme ni 70,000/- then usafiri unaambiwa ni $20, sasa hapo utaweza kununua?
 
Kuna shipping agent wanaotuma mizigo kuja TZ kama GNM na Unique Air Cargo n.k, kuwapata hawa ingia instagram then search Unique air Cargo au GNM utapata wasiliano yao
ok ni vp kuhusu gharama za usafirishaji kwasababu naweza nikaagiza memory card 10 zenye faida ya 3000 mfano kwa zote ikawa elfu 30 afu usafirishaji inakuwa 25,000 vp kuhusu hilo?
 
Yes wapo ila shida inakuja ni gharama za udafiri, mfano Supplier anauza min order mfano memory card GB 32 min order ni pc 1 ambayo tuseme ni 70,000/- then usafiri unaambiwa ni $20, sasa hapo utaweza kununua?
Je kama nikitaka kuagiza tv maxmum usafirishaji inaweza ikawa shingapi?
 
Vitu vya kuvunjika vunjika gharama yake inakuwa juu kidgo unaweza ukaambia laki 1.5 kwa Tv moja hapa njia ya ndege, kwa njia ya meli haizidi 50,000
 
ok kwaiyo kak unanishaurije kama tv bei pamoja na usafiri si inaweza ikawa sawa tu na tz?
 
Back
Top Bottom