1800
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 2,215
- 603
Import duty
na VAT
Sina hakika ipi ni 20% na ipi ni 18%
Hivo mzigo kama ni 100$ na uko valid kupigwa ushuru basi watachukua (100$ × 0.18) + (100×0.20)
Na huo ndo ushuru wako ila ikumbukwe educational materials hazipaswi kugongwa ushuru
Bila shaka mkuu hiyo % inapigwa kwa kujumlisha bei ya manunuzi na shipping au niko wrong?