Jifunze matamshi sahihi ya maneno haya ya Kiingereza! Yanakosewa sana!

Pia tunaenda chaka sana katika kuandika Hasa subtitles za Bongo movies, badala ya kutumia neno "lose" wanaandika "loose" wakiwa na maana ya kupoteza. Hii imekaa vipi wataalamu?
 
Yanatamkwa hvyo na wenye lugha zao bana...mim lugha mama ni kisukuma hyo slang ntaweza wap? Cha msingi uelewe ninachomaanisha na kuandika najua..mambo ya kubana pua siwezi
 
Yanatamkwa hvyo na wenye lugha zao bana...mim lugha mama ni kisukuma hyo slang ntaweza wap? Cha msingi uelewe ninachomaanisha na kuandika najua..mambo ya kubana pua siwezi
Hata wenye hii lugha huwa wanatofautiana kimatamshi, huwezi sema neno ili linatamkwa hivi kiusahihi wakati evn kwny oxford matamshi ya maneno huwa yanabadilika toka toleo moja hadi lingine.
 
Back
Top Bottom