Jifunze Lugha ya Kiarabu

Sijui nani anishawishi kujifunza HIYO lugha isee

Amini au usiamini,

Ma Billions ya watu duniani wanaitumia lugha ya Kiarabu kusoma Quran, kusomea maelfu ya vitabu (vitabu vyote muhimu za elimu mbali mbali zimetafsiriwa kwa lugha ya kiarabu), wengi wanatumia lugha ya kiarabu katika Mazungumzo yao na katika sala zao (hata hapa Tanzania pia).

Lugha inayotumika sana hapa Afrika ni Kiarabu.
 
Sijui nani anishawishi kujifunza HIYO lugha isee

tena acha kabisa hiyo lugha,utakuwa gaidi sasa hivi,allah hana masikhara hata kidogo...nadhani umenielewa niliposema allah...allah sio Mungu,wanamjua wao wenyewe wajjahidinna
 
Waganga wa kienyeji hii lugha wameimaster kweli. wanaitumia kuitia maruani.
 
kwa anaye penda namshauri ajifunze kwani ndiyo lugha ya peponi mimi ni muislamu na ninaamini katika hili na wala si hitaji ushauri wowote juu ya hili kwani katika imani ni kuamini na kufuata kama jinsi maandiko matakatifu katika qur an yanavyo nena ewe m.mungu nisaidie katika hili
 
Kule peponi nasikia kwa waislamu waliokwishafika kwamba kama unajua kusoma kur aan unapelekwa gesti ndani kuna mabinti saba wote mabikra. sasa sijaambiwa wanawake wakifika huko wanapewa kitu gani. hebu kwa aliyefika na kurudi atuhabarishe
 
mchango wa kipumbavu!
 
kaka kuna waislamu na waislamu jina. yaani wale tunaokunywa nao bia. viroba. tunaopishana nao gesti. tunaokula nao mbuzi katoliki. hawa wote wana majina ya kiislamu lkn hawana dini
 
Inaposemwa idadi ya wakristo duniani ni bilioni... pia inajumuisha wakristo jina. Kwa hiyo ukweli uko pale pale, idadi ya sasa ya waislamu duniani ni zaidi ya bilioni moja?
 
Back
Top Bottom