Vip majanga?
Yeah, simu yangu ni OG
View attachment 1111876
Umeiroot hii simu?
Hawezi kubali, simu ukifungua unataka muuzaji aje amuuzie nani nawe umekata seal ya boksi??Kama ana nia njema atakubali tu...si una download apk...huna haja ya ku sign in
Umeweka app au umetumia hizo code?
Basi tumia app mkuu
Asante mkuuInaitwa phone info
Nimekupata mkuuKama ina seal box hiyo sio refubished...
Naongelea zile simu za kariakoo mana weng ndio wananunua