Jifunze kuzijua samsung zilizo karabatiwa(refurbished)

mkuu unlocked phone pia sindio refurbished mana nazo huuzwa bei ya chini huko uzunguni
 
Ahsante mkuu. Nimeangalia na kuona simu yangu ni origino
Screenshot_20180830-185758.jpg

Sent using samsung galaxy grand prime pro
 
Sasa kama njia ya kwanza imegoma sawa umesema utatumia njia ya pili mpaka udanilodi app muuzaji atakubali uanze kuingiza email yako ndio uingie playstore mwongozi please
 
Sasa kama njia ya kwanza imegoma sawa umesema utatumia njia ya pili mpaka udanilodi app muuzaji atakubali uanze kuingiza email yako ndio uingie playstore mwongozi please
Kama ana nia njema atakubali tu...si una download apk...huna haja ya ku sign in
 
Tafadhari msaada simu yangu ni samsung A8 inatumia lini 2 nina kama miezi 3 hivi nikiwasha data mfano kwa kutumia lini ya tigo mda huo huo lini ya tigo inakuwa haipatikani nikibadili na kutumia voda tigo inapatikana ila voda inakuwa haipatikani.
Tafadhani naomba msaada wakujua tatizo ni nini.
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom