Jifunze kuzijua samsung zilizo karabatiwa(refurbished)

kcamp

JF-Expert Member
Aug 31, 2014
8,514
7,909
Hapa bongo kumekua na wimbi la refurbished phones hasa upande wa samsung ndio kinara.

Refurbished au recondishioned phones ni simu ambazo either zilikua na matatizo ya hardware au softwares baada ya kununuliwa na wateja..kisha zinarudishwa kiwandani kufanyiwa fixing na kisha kuuzwa tena kwa bei ndogo, kwa sheria moja tu simu iliyo fanyiwa fixing haiwezi kuuzwa tena kama brand new.

Lakini pia refurbished inaweza kuwa haikua na matatizo ila mteja aliirudisha kwa muuzaji ili anunue simu nyingine, hii ina promote buying back program.

Hivyo hakuna clear difinition nzur sana ya refurbished phones ukizingatia kila mtu husema lake..ila mara nyingi inamaanisha ni simu iliyo kwisha tumika, ikawa na shida ikarudishwa kiwandani kwa matangenezo na kisha kuuzwa tena kwa bei chee.

Hasara za Refurbished

1.Hutokua na gurantee ya kwamba tatizo lilikokua fixed halitotokea tena lakini pia hujui simu ilikumbwa na maswaiba gani.

2.Physical damage, hizi simu kuna muda unakuta zina matatizo kama speaker kutolia vzur, mic kuwa na shida lakini pia huweza kuwa na scratches

3.Warranty, hizi simu huwa hazina warranty au zikiwa nazo huwa ni za muda mfupi sana, sellers wanajua hili ni janga, sasa kutoa warranty hata ya mwaka mzima ni kasheshe, wengi mnaona warranty za maduka ya kariakoo, unakuta unapewa siku 15, mwezi au miezi miwili.

4.Software problems, imu hizi pia ni rahisi kukutana softwares issues tofauti tofauti.

Faida ya refurbished

1.Ina save hela kama huna mtonyo wa kununua brand new phone basi refurbished utaipata kwa bei nzuri.

2.Profit generating, hizi simu kama wewe ni una duka lako, basi utapiga hela maana utazinunua kwa bei rahisi na utaziuza hata kwa bei ya brand new, hii ipo sana Kariakoo.

Utajuaje sasa simu yako ni refurbished au brand new?

Bonyeza ##786# kwenye dialer kisha ita pop menyu uta click view kisha shuka chini na uangalia " recondishioned status" ikisoma" No" basi simu yako ni original/brandnew ila ikisoma yes basi ni refurbished.

Njia ya pili ya kucheki incase njia ya kwanza imegoma, nenda playstore kisha download app inaitwa phone info itakua yakwanza kabisa...download na install kisha ifungue na upande wa kishoto kwa juu uta click kisha chagua refurbishment check kisha uta skip na utapata majibu ya simu yako

#Kuna watu wanauziwa simu kwa bei ya brand new kumbe ni refurbished, hii itawasaidia wengi wakati wa manunuzi.

Jana rafikI yangu kauziwa s7 kwa 700 kuchek ni refurbished, alitakiwa auziwe kwa 500 had 550 kwa bei ya kibongo bongo..

#Hizi sio kwamba hazifai sana, noo kibongo bongo ndio zetu, mimi nishamiliki refurbished kama mbili na kazikuwahi kunisumbua... ila ni vizuri tukizijua zaidi.

WALE WA IPHONE

1. fungua Settings.
2. Shuka chini na fungua General.
3. Gusa About.
4. Shuka chini hadi "Model"
5. Angalia herufi ya kwanza ya model yako

"M" au "P", inamaana iphone yko ni mpya,,,wakati "N" au "F" ni refurbished



20180828_162930.jpeg


Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Mkuu, hii naamini hata Posta wanafanya hivi baadhi ya maduka, hizi refurbished huwezi zijua kabisa kama sio mtaalamu. Zinakuja na box lake na kila kitu, simu inang'aa kama mpya kweli vile.
 
Kabisa kaka...huwez zjua had uzifume kwa style hii...mana iko full boxed
Mkuu, hii naamini hata Posta wanafanya hivi baadhi ya maduka, hizi refurbished huwezi zijua kabisa kama sio mtaalamu. Zinakuja na box lake na kila kitu, simu inang'aa kama mpya kweli vile.

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Hapa bongo kumekua na wimbi la refurbished phones hasa upande wa samsung ndio kinara.

Refurbished au recondishioned phones ni simu ambazo either zilikua na matatizo ya hardware au softwares baada ya kununuliwa na wateja..kisha zinarudishwa kiwandani kufanyiwa fixing na kisha kuuzwa tena kwa bei ndogo ,kwa sheria moja tu,simu iliyo fanyiwa fixing haiwez kuuzwa tena kama brandnew.

Lakini pia refurbished inaweza kua haikua na matatizo ila mteja aliirudisha kwa muuzaji ili anunue simu nyingine ,hii ina promote buying back program

Hivyo hakuna clear difinition nzur sana ya refurbished phones ukizingatia kila mtu husema lake..ila mara nyingi inamaanisha ni simu iliyo kwisha tumika ,ikawa na shida ikarudishwa kiwandan kwa matangenezo na kisha kuuzwa tena kwa bei chee.

Hasara za Refurbished

1.hutokua na gurantee ya kwamba tatizo lilikokua fixed halitotokea tena,lakini pia hujui simu ilikumbwa na maswaiba gani

2.physical damage,hizi simu kuna mda unakuta zina matatizo kama speaker kutolia vzur,mike kua na shida,lakini pia hueza kua na scratches

3.warranty, hizi simu huwa hazina warranty au zikiwa nazo huwa ni za mda mfupi sana,sellers wanajua hili ni janga ,sasa kutoa warranty hata ya mwaka mzima ni kasheshe,,wengi mnaona warranty za maduka ya kariakoo,..unakuta unapewa siku 15 ,mwezi au miez miwili

4.software problems..simu hizi pia ni rahis kukutana softwares issues tofaut tofaut..

Faida ya refurbished

1.Ina save hela...kama huna mtonyo wa kununua brandnew phone bas refurbished utaipata kwa bei nzuri

2.profit generating..hizi sim kama ww ni una duka lako,basi utapiga hela,maana utazinunua kwa bei rahis na utaziuza hata kwa bei ya brandnew..hii ipo sana kariakoo

Utajuaje sasa sim yako ni refurbished au brandnew?

Bonyeza ##786# kweny dialer kisha ita pop menyu uta click view kisha shuka chini na uangalia " recondishioned status" ikisoma" No" basi simu yako ni original/brandnew ila ikisoma yes basi ni refurbished

Njia ya pili ya kucheki incase njia ya kwanza imegoma ,nenda playstore kisha download app inaitwa phone info itakua yakwanza kabisa...download na install kisha ifungue na upande wa kishoto kwa juu uta click kisha chagua refurbishment check kisha uta skip na utapata majibu ya simu yako

#kuna watu wanauziwa simu kwa bei ya brandnew kumbe ni refurbished,hii itawasaidia wengi..wakati wa manunuzi

Jana rafik yangu kauziwa s7 kwa 700 kuchek ni refurbished..alitakiwa auziwe kwa 500 had 550 kwa bei ya kibongo bongo..

#hizi sio kwamba hazifai sana..noo kibongo bongo ndio zetu,mimi nishamilik refurbished kama mbili na kazikuwahi kunisumbua... ila ni vzur tukizijua zaidi.

NJIA HIZO NI KWA SAMSUNG WAKUU,brand zingine sjajua kama zinakubal

View attachment 849382

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Hiyo njia ya pili mpaka ujue ni refurbished tayari ushanunua omba tu isisome yes
 
Back
Top Bottom