mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,701
Malalamiko na lawama yanamatokeo Hasi Sana Kwa wanayoyapenda .
Yanaathari kubwa Kwa uchumi,afya ya kimwili na kiakili.
Ndio maana Kuna nchi Moja Scandinavia Kuna Sheria inayopinga kulalamikia vitu ambavyo havibadilishiki. (it is illegal to complain). Hasa kulalamikia baridi Kali.
Wabongo wengi hii tabia inatuhusu. Mwananchi nalalamika,kiongozi analalamika, mchungaji analalamika kwenye altare, waumini wanalalamika Hadi kwenye maombi.
Jifunze kuwakwepa, kuwaepuka watu wa namna hii. Watakuambukiza. Ni Bora huo Muda uutumie kusoma kitabu.
Kumbuka.
Kilichosababisha wana wa Israel mamilioni wasifike safari yao ni
Ulalmishi.
Manung'uniko.
Na lawama.
Fanyia kazi hii itakuongezea kitu maishani.
Muebrania
Mitale na midimu