Jifunze kutengeneza mkorogo mzuri na usio na madhara kwa afya yako

Safi sana.
Napenda sana mtu akitoa mrejesho kama hivi.
Na pia ungekuwa na vitamin B zile capsule unaweka kama 3 au 4...basi mambo yanakuwa ng'aring'ari mdogo wangu.
Kuna B za vidonge na maji.
Chaguo lako.
Hahahah eti I don't care...nimecheka sana.
View attachment 985560View attachment 985561
Nashukuru mamy mambo ni fire πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯nikiweka na bonjour si sawa tu.
 
Kama kichwa cha habari kinavojieleza naomba msaada wa lotion na cream zipi nzuri zinafaa kuchanganya kwenye mkorogo mzuri.
Dah...
Chukua asidi ya betri gari robo Lita...chumvi gram100...simenti vijiko 6 vya chakula.....hamira vijiko 3....pilipili manga gramu 50...changanya Kisha chemsha kwa masaa3...bandika usoni ikiwa Moto....nope mrejesho inbox...nimekupa bure kabisa hi formula....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pita kushoto 😏😏😏😏😏😏😏😏😏
 
Mkorogo ni hatari kwa afya yako. baadhi ya chemicals ukichanganya zinaweza kuzalisha kitu kingine usichotarajia. Acha hizo mambo mkuu.
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom