Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 25,558
- 45,828
Aisee ile ni dhambi .kufuru kubwa .chaaaaole wako uwe km mke wa fella
Aisee ile ni dhambi .kufuru kubwa .chaaaaole wako uwe km mke wa fella
Niko serious My Subiri nikujeePoa.
Twendeni chemba na Beef nikawaelekeze.
Uko serious lakini we binti?
Mile ndo naifanya hii na kuwauzia wadada na wamama.
NishailetaTz ya viwanda inakuja
Asante mpenzi.Ahsante Madam kwa darasa huru.
Umetumia sumu (Extra Clair) na Movate. Huo mkorogo ni sumu 100% pia.Mahitaji
1. Extra clair cream yenye lemon
Extra clair cream ipo ya carrot na lemon.
Wewe chukua ya lemon.
Inauzwa 7000/=
2. Glycerine ya Alovera
Inauzwa 1000/=
3. Movate tube 2,(Kama unataka kung'aa sana) au tube 1,(kama hutaki kung'aa sana)
Tube moja sh 3000 mbili sh 6000
4. Lotion yoyote laini yenye mchanganyiko wa asali ndani yake mfano hizi za Revlon au hizi za kupaka mwilini ila ziwe na mchanganyiko wa asali ndani yake.
Hizi zinauzwa sh 5000 mpaka 7000
5. Mfuko mdogo kwa ajili ya kuchanganyia mchanganyiko wako
Naona una hasira na FiestaUmetumia sumu (Extra Clair) na Movate. Huo mkorogo ni sumu 100% pia.
Extra Clair ni kipodozi chenye kemikali/sumu kali na imepigwa marufuku na Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA). Hata huko madukani munauziwa kwa siri
Movate cream ni dawa kwa ajili ya mzio (allergy) na matumizi yake ni ya muda mfupi tu (chini ya wiki mbili), zaidi ya hapo inaanza kuharibu ngozi na kuifanya kuwa nyembamba kiasi cha kushindwa kuhimili mionzi ya jua na kuwa katika hatari ya kupata saratani (cancer). Movate cream sio ya kutumiwa kila siku kama kipodozi, vinginevyo nayo pia inakuwa sumu na kuanza kuharibu ngozi yako na kuhatarisha afya yako.
Tafadhali Madame B futa post hii kabla hujawa wanted na TFDA na watu hawajaathirika na mkorogo huu.
Dada naomba darasa tafadhaliBeef Lasagna ulishapata tips za kutengeneza mkorogo ulio sahihi?
Kama bado njoo pm nikufundishe bure.
Sitaweza andika hapa maana mimi nafundisha ujasiriamali.
Karibu
Mimi niliambiwa siku hizi napiga hela balaa. Madam b mtu sana.Mimi nawawekea Na bonjour basi wanawaka kama karatasi I don't care
Sawa mamii.
Madam b asante kwa kunifundisha ujasiriamali.Sawa mamii.
Ngoja nikakutag kwenye uzi.
Niliuanzisha humuhumu...
Safi sana.Mimi niliambiwa siku hizi napiga hela balaa. Madam b mtu sana.Mimi nawawekea Na bonjour basi wanawaka kama karatasi I don't care
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mpenzi wangu.
Na mieSawa mamii.
Ngoja nikakutag kwenye uzi.
Niliuanzisha humuhumu...